Recent content by Muntu Mubhibhi

  1. M

    Deni la Taifa: Kutoka trilioni 10.5 hadi trilioni 14.4 kwa mwaka?

    Dah kazi ipo!sas hapa sijui ndo Mgimwa kaandkiwa na mafisadi asome kutulidhisha watanzania au kwa akili zake timamu na taaluma aliyonayo kaamua kuudanganya ulimi wake mwenyewe.
  2. M

    Bakhresa kumwaga mabasi 300, TABOA na wanasiasa wenye vyombo hivyo msilete hujuma!

    Kwa Bakhresa kwenye miradi hata mimi sina shaka nae mana mifano hai ni usafiri kwa njia ya maji kutoka Dar kwenda Zenji ukiangalia kwa nauli ileile kama wanayochaji wenzake lakini huduma zake ni classic,pili hana tamaa ya kutaka kujinufaisha kutokana na matatizo ya watu,ukizingatia boti zake...
  3. M

    Mnyika: Serikali iache usiri miundombinu ya gesi!

    hata kama tunasema mzee wa kaya kila kitu anadanganywa je hata hili la mikataba kuwa wazi nalo anadanganywa?hivi kama mkuu wa kaya hana maslahi yeyote kwani kuweka mikataba ya rasilimali zetu ikawa wazi atleast hata kwa wabunge tu nalo linahitaji marekebisho ya katiba?Jamani Mauritius kisiwa...
  4. M

    Camel Oil wakwama kuinunua IPTL; Jaji Mkuu Chande atengua uamuzi

    Yetu macho waungwana!ila mbio za sakafuni huishia ukingoni,wananchi wameshachoka waache wagawane hela ila siku watakapoombwa kuzirudisha na wananchi kwa hukumu ya hadhara ndo watajua majuto ni mjukuu!:glasses-nerdy:
  5. M

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Bravoo Ndg. Lema! Ndugu zangu msiumize vichwa na mda kwa kuwajadili wawakilisha maandishi yalioandikwa kwa kuwa hawana taakuma na kazi waliopewa kuifanya lazima utegemee hayo yaliyotokea na yatakayondelea kutokea mpka siku wikiwa na taaluma hiyo ndo watajua miiko ya kazi yao. Kwa ufupi siyo tu...
  6. M

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Katika wanasiasa naowakubali kitaifa na kimataifa huyu kamanda namkubali ile mbaya!yaan kama ushwahi kuwasikia watu waojua kutekeleza majukumu yao bila unafiki na kwa ukweli na uwazi huyu mmoja wao sasa ngoja tuone moto wa gesi utakaowaka Bungeni!hakika ukombozi umewadia sasa toa jembe weka...
  7. M

    Mwigilu Nchemba amlipia Dr. Slaa ada ya uanachama Mwanza, Huku Matata akisema yeye ni Meya wa CCM

    kama unavyojua siasa za bongo ni kujipendekeza ili utoke,ndiyo maana ugomvi mkubwa katika kila chama ni wewe wa kundi hili na kundi lile ukikuta wanasiasa makini kama Mnyika kila siku wanaongelea rasilimali za nchi na jinsi zinavyochakachuliwa.Hao ndo wanasiasa lakini mtu dizain ya Chemba cha...
  8. M

    Hello wa JF

    Wana JF nasema habari zenu kwa pamoja! baada ya kuifatilia JF kwa mda wa kutosha na mimi nimevutiwa kuwa mmoja wa wachangiaji nikiwa naamini ni mwanamapinduzi wa kweli katika harakati za kuikomboa nchi yetu kutoka kwa wasioitakia mema. Nchi yenye kila neema,lakini waroho wachache wanataka...
Back
Top Bottom