Dah hao wote wako njema ila me alini train bro wetu mmoja MTAMBO kwa kutumia vitini vya mgote jamaa yupo njema tulitoka nondo tukaenda kujipigia vibanda vyetu vya PHYZ kibosi
Show out to you bro'
Free code camp nimefanya nao kazi ila naona Wana video ndefu kuna mtu nilimuona ana video za Udemy naona zipo fresh kwa beginners ila hata hivyo naendelea nao
Habari zenu wakuu
Mimi ni Mwanafunzi hapo chuo Chetu kisiopendwa na wengi ( udsm) napiga Computer Engineering
Ila nataka niji train much hapo kwenye masuala ya development nilikua naomba mnisaidie kupata link ya kusoma zile kozi za Udemy au any website ambayo naweza kupata full course ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.