Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Anayosema ndio anayoyasikia kutoka kwa baba na mama yake. Ridhiwan aliposema Rais hawawezi kutoka kaskazini umewahi kusikia baba yake akikemea kauli hiyo? Yote tunamwachia Mungu maana maandiko matakatifu yanatuambia Kisasi ni juu ya Mungu mwenyewe.
Sita apumzike zake kwa amani. Huyu mzee ndiye aliyesimamia uandishi wa katiba ya mafisadi na kutupa mawazo ya wananchi.
Hana hadhi ya kuwa Spika wa Bunge letu tukufu. Kwanza arejeshe nyumba za Bunge alizoshikilia.
Propaganda. Huelewi kitu kuhusu siasa za Tanzania ama umezaliwa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010. Kila Mtanzania anafahamu kilichotokea 2010; Dr slaa alipokwa ushindi na kwa hekima wazee wakamshauri asiingize nchi kwenye machafuko. Lipumba anayetaka kugombea kwa mara ya tano, mara zote nne...
Mtoto wa marehemu Kighoma Alli Malima, ambaye historia inamtambua kama Mtanzania aliyewahi kuficha hela nyingi za Serikali nje ya nchi na zilipokuwa confiscated akafa kwa pressure. Kijana kapewa fadhila hayakumbuki yaliyompata baba yake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.