Recent content by Mungu-atosha

  1. M

    JamiiForums Sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii,Wafanyakazi wa umma na wasio wa umma kufa masikini

    Ikiwahusu waheshiwa wabunge itakuwa ngumu vinginevyo sisi wafanyakazi wenyewe na vyombo vya habari tushirikiane katika kuupinga muswada huo.
  2. M

    JamiiForums Wanandoa mnayaelewaje maneno haya?

    Members and non members of Jf
  3. M

    JamiiForums Wanandoa mnayaelewaje maneno haya?

    Unaelewa nini kuhusu maandiko haya Mathayo 19:9 kutoka katika biblia takatifu?
  4. M

    JamiiForums Mke Wangu Ni Mchawi Hatari,Nisaidieni Ndugu Zangu.

    Ndugu funguka maana imeandikwa 'hakuna uchawi kwa Yakobo wala uganga kwa Israel...' Hes.23:23 , kwa hiyo ndugu uchawi upo la kufanya mkubali Mungu na maagizo yake nawe utakuwa salama (MUNGU AKIWA UPANDE WETU NANI ALIYE JUU YETU ,Rum8:20-...)
  5. M

    JamiiForums Uchaguzi serikali za mitaa

    Shime Watanzania tukapige kura kuwachagua viongozi bora na waadirifu bila ubaguzi wa aina yeyote na zaidi tukimtanguliza Mwenyezi Mungu.
  6. M

    JamiiForums Ufisadi mwingine wa BILIONI 60 shirika la reli Tanzania

    Hapa nakumbuka hadithi ile 'heri mimi sijasema'
Back
Top Bottom