Tuache siasa katika hili.
Tuiachie mahakama ifanye kazi yake. Mahakama ile ile iliyoamuru Mbowe na wenzake warudishiwe fedha walizotozwa huko nyuma, ndiyo hiyo hiyo itakayotoa hukumu ya kesi ya ugaidi
Gambo nakumbuka aliwahi kumwambia Rais kuwa tumeimaliza CHADEMA Arusha.
Salamu ya Jana kanisani imewaonyesha kuwa Lema ni Arusha na Arusha ni Lema
Kwa uchaguzi huru na haki, ccm hawana hata diwani moja Arusha.
Yule jamaa kulazwa kwake shughuli kweli... ana uwezo wa kutembea na dripu na daktari na manesi kwenye gari.... Anapenda kulazwa hospitali ambayo ni take away
Serikali ya sasa ni ya bakwata, ni wao tu kupitia Sheikh Mussa Salum wametangaza Magufuli ni zaidi ya Mungu
Ila mimi na nyumba yangu tunasema hakuna kama Mungu, hakuna hata moja wa kulinganishwa na Mungu.
Mungu wetu ni mkuu sana na amemsikia vyema Sheikh Salum
Na kipindi hicho wadau wakilalamika kuwa inakuwaje anatoka msukuma anaingia msukuma, nadhani kwa mara ya kwanza mmoja ataukana usukuma, kwamba siyo kweli huyu anayesepa ni msukuma. Watasema moja mzinza mama yake msubi hahaha
Pengo ni askofu tu kama maaskofu wengine wa majimbo. Hana ukuu wowote. Ukardinali ni qualification tu siyo cheo.
Pengo anatakiwa amheshimu rais wake Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa
Nilikuwa nimekata tamaa hata kuhudhuria ibada baada ya ku note baraza la maaskofu wapo kimya, nikajua wameamua ku mute kwakuwa Mkatoliki mwenzao yupo ikulu.
Kwa huu waraka kwakweli imenibariki, jumapili ijayo ntakuwa wa kwanza kuingia ibadani na fungu langu la kumi juu.
Asante baraza la...
Mabenki yanafilisika kwa sababu ya uchumi wa nchi kushuka.
Uchumi unashuka kwa sababu uwekezaji umeshuka. Hence kupungua kwa usafirishaji wa products kwenda nje.
Uwekezaji imeshuka kwasababu kiwango cha fedha kwenye corporate banks zimeshuka.
Kiwango cha fedha kwenye corporate banks zimeshuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.