Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,879
- 2,554
Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Tehitakuwa ni mara ya pili kuwa na rais anayetuhumiwa kughushi elimu
Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh Tehitakuwa ni mara ya pili kuwa na rais anayetuhumiwa kughushi elimu
Hakika kwa utendaji wake wa kazi anafaa ,Sana , si wote watamkubali Ila anafaqMkuu britanicca,
Naunga mkono hoja, nisome Hata
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
P.
HahahaNa kipindi hicho wadau wakilalamika kuwa inakuwaje anatoka msukuma anaingia msukuma, nadhani kwa mara ya kwanza mmoja ataukana usukuma, kwamba siyo kweli huyu anayesepa ni msukuma. Watasema moja mzinza mama yake msubi hahaha
HahaMchochezi wewe unataka nini wakati sisi tumeshanyooka? Msubiri Lissu ndo ana mdomo wa kusema kisheria.
Mwingine naniitakuwa ni mara ya pili kuwa na rais anayetuhumiwa kughushi elimu
Nitahamia nchi jirani. Siwezi kutawaliwa na kilaza!itakuwa ni mara ya pili kuwa na rais anayetuhumiwa kughushi elimu
Hapa hauko sahihi ila la Mwenyekiti na Makonda uko sahihi!
Waswahili tunasema kuna watu wanafuga misukule, lakini wenzetu wazungu wanaita "Zombie". Kuna chama mwenyekiti wao ndiye aliyeshikilia akili zao na anachoamua yeye ndiyo na wao hufuata.
Nadharia hii ya Isaac Asimov inafaa sana kwa wana CCM na chama chao!!
itakuwa ni mara ya pili kuwa na rais anayetuhumiwa kughushi elimu