kwa jinsi nilivyomuelewa anasema nafasi zilitangazwa 39 ila malioitwa kazinii ni 2 je? zile 37 zilizobaki zimeenda wapi.na anauhakika alifikisha alama angalau 50
mkuu kama unauhakika ulifanya vizuri interview njoo tu, huwa wakalimu sana ukienda kwenye office zao pia inakuondolea hofu haiwezekani upoteze haki yako kiraisirais?
kama ni hivyo si wangeonyesha kwenye qualifications ili mtu ambae hata huo uzoefu asiombe, nafikiri hata mtu mwenye uzoefu anaitaji kudhihiri uwezo wake kwa kushindana na wengine.
hujanielewa kama huitwi kwenye interview utafanyaje vizuri? haiwezekani mtu umemzidi GPA yeye aitwe wewe usiitwe? kama wote mnaitwa halafu mwenye gpa ndogo hata pass akiitwa oral ni haki yake becouse kafaulu mtihani ila huwezi kumuita mtu pass kwenye interview umuache wa first au upper?
Unakuta mtu umemaliza nae chuo kimoja umemzidi GPA ila yeye anaitwa wewe huitwi? kwa mfano nafasi ya supplies officer IFM nafasi ilikua 1 na wamemuita mtu I tu. tena akafanye oral sasa na ukizingatia watu wa procurement walivyojazana mtaani? sijui walitumia kigezo kipi?
sijaona aisee naomba unielekeze, najua kwenye ile form kunakipengele unajaza GPA ila hawaspecify kama ni upper, kweye qualifications z post walizotoa pia sijaona
nimesoma vizuri ila sijaona kipengele cha GPA kila post ina qualifications zake mm nimeangalia post y procurement wameonyesha ni degree pia uwe registered n psptb na hakuna general qualification
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.