Recent content by Munari

  1. Munari

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Kuna aliyepata ajira baada ya kuweka profile taka humu Ushuhuda walete humu tupate motisha
  2. Munari

    JamiiForums Tanzania Aina mbalimbali za Madakitari

    Urologist
  3. Munari

    JamiiForums Tanzania Ndugu kwa hapa dar es salaam GOMS ndo wapi? Iko maeneo gan? Ni wilaya au mtaa au Kijiji? Au ni behewa la TREN ?

    Maneno hayo si mageni jijini utasikia UK= Ukonga, Gombs/gom =Gongo LA Mboto.nk
  4. Munari

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Morogoro-Mkundi Kiegeya sqm 600(20/30)

    Bado kipi ndg karibu sana
  5. Munari

    JamiiForums Tanzania Kiwanja SQM²600 (20*30) chauzwa 2.3.M Morogoro municipal

    Karibun ndg
  6. Munari

    JamiiForums Tanzania Kiwanja SQM²600 (20*30) chauzwa 2.3.M Morogoro municipal

    Yes karibu
  7. Munari

    JamiiForums Tanzania Kiwanja SQM²600 (20*30) chauzwa 2.3.M Morogoro municipal

    Kiegeya
  8. Munari

    JamiiForums Tanzania Kiwanja SQM²600 (20*30) chauzwa 2.3.M Morogoro municipal

    Mwenye hela ya chap njoo uwekeze Kinapitika barabara > Details zingine njoo tuzungumze Pm
  9. Munari

    JamiiForums Tanzania Nataka nizalishe kuku wa kienyeji laki moja ndani ya miaka mitatu

    Mara ya mwisho alisema amefikisha ngap vile
  10. Munari

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana maarifa kwenye nyanja tofauti (Kiuchumi, kiafya na maendeleo binafsi)

    Mwenye KAMUSI YA KISWAHILI TOKA TUKI SOFT copy PLZ
  11. Munari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wengi tunamlaumu Mary na tunamuonea huruma Mama J Tukumbuke hii ni story (Fasihi,Riwaya) a.k movie kupitia Mwaandishi Mlumbi INSIDER ambayo hutusisimua tunaposoma tunaona wahusika wakicheza nafasi zao ipasavyo Kiufupi tuendelee kuburudika kujifunza mengi Kongole Mlumbi INSIDER endelea kishusha...
  12. Munari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Waiting list ya kukunwa nazi ndani ya story hii ya mwandish Ongezea unaowajua / unaowakumbuka
  13. Munari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kuna mtu aitwa Sia Wa kule sea clife au cocobeach nafikir.. Ngoja nae ataingia kwenye18 zake
  14. Munari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Inafunza viingi
Back
Top Bottom