Bado ni kiini macho na ni ushahidi kuwa ccm wamechoka kifikra na jinsi ya kutatua migogoro ya Muungano, CCM tambueni kuwa Wazanzibar hawana shida na kuhongwa vyeo isipokuwa tu wanahitaji Mamraka kamili ili nao watambulike Kimataifa maana kwa mfumo wa sasa wa Serikali mbili wamemezwa hawatambuliki!
Nachukia tabia za Watu kumsifia Mtu mambo mengi mazuri akiwa tayari ameshafariki sasa naomba niulize mnafanya hivyo kwa faida ya nani? Kwa nini hamtoi sifa hizo wakati mtu akingali Hai ili aone yeye mwenyewe anavyofanya vizuri au anavyoboronga???
Hata Kasisiko naye anatakiwa kuwajibishwa maana ni yeye aliyetoa tahadhari kuwa Dr Slaa asikanyage Kigoma hivyo kwa kauli hiyo na yeye alichochea vurugu zile!!
Inafahamika kuwa kesho tar 21 December 2013 Mbunge wa Kigoma kaskazini Mh Zitto ataingia Kigoma kwa mbwembwe nyingi lakini taarifa za uhakika toka Kigoma jioni hii kuna tangazo linalowataarifu wenye Magari wote na Pikipiki wakajaze mafuta kwenye sheli moja iliyoko Kigoma Mjini maalufu kwa jina...
Hapo naona huyo Diwani naye alikuwa amelewa madaraka maana kama eneo lilikuwa limezuiliwa na Mahakama,alikodi Mabaunsa wa nini wakati alitakiwa aitaarifu mahakama ili iweke hayo mabango ya katazo chini ya ucmamizi imara wa Jeshi la Polisi!!! Huyu kafa kwa sababu ya Kiburi cha madaraka.
Labda alikuwa anajifurahisha mbele ya hadhara Mbowe anakubalika Hai ndo maana 2005 hakugombea lakini baada ya miaka mitano yaani 2010 karudi kugombea akapasua sasa hiyo Toto ya Nasary School iliyoshiba uji inataka kuwa na njaa!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.