Recent content by Multpurpose

  1. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Maeneo gani naweza kupata vifaa vya Stationery kwa Bei nafuu.? Sent using Jamii Forums mobile app Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Maeneo gani naweza kupata vifaa vya Stationery kwa Bei nafuu.? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Hii ni hali ya kawaida kweli au kuna shida!

    At least now I don't feel alone na hili tatizo.
  4. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Fursa, Tangaza nasi, Buuree!!

    Haina shida japokuwa haiendani na kazi yangu.
  5. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Fursa, Tangaza nasi, Buuree!!

    Nina stationary yangu kivule so nitawaPromote kupitia hapo since vitu nilotaja hapo juu vinahusiana sana na biashara yangu.
  6. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Fursa, Tangaza nasi, Buuree!!

    Nina stationary yangu kivule so nitawaPromote kupitia hapo since mambo nilotaja hapo juu yanahusiana sana na biashara yangu.
  7. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Let's work Together!

    Anywhere its okay. ili mradi awe na uhakika wa kupatikana kwa urahisi either kwaajili ya delivery ama mawasiliano ya ziada na mteja wake.
  8. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Fursa, Tangaza nasi, Buuree!!

    Kabisa? Hujaelewa title ama ujumbe?
  9. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Fursa, Tangaza nasi, Buuree!!

    Habari. Kama title inavosomeka hapo juu. Ningependa kuwapa fursa wajasiriamali/wafanyabiashara wanaojihusisha na °Kupika Keki °wanaouza/kutengeneza kadi za harusi nk. na °wapambaji wa ukumbi wa sherehe /event planners. Kuungana na Mimi nikiwa kama wakala wao kwaajili ya matangazo ya biashara...
  10. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Let's work Together!

    Habari. Kama title inavosomeka hapo juu. Ningependa kuwapa fursa wajasiriamali/wafanyabiashara wanaojihusisha na °Kupika Keki °wanaouza/kutengeneza kadi za harusi nk. na °wapambaji wa ukumbi wa sherehe /event planners. Kuungana na Mimi nikiwa kama wakala wao kwaajili ya matangazo ya biashara...
  11. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Mkaa wa karatasi: Naomba kufahamu kwa kina kuhusu biashara hii

    lakini unachukua muda mpaka kuisha?
  12. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Mkaa wa karatasi: Naomba kufahamu kwa kina kuhusu biashara hii

    shukrani mkuu, nilivutiwa na mradi huu baada ya kupewa sifa kuwa mkaa huu unachukua hadi masaa matatu mpaka kuisha.
  13. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Mkaa wa karatasi: Naomba kufahamu kwa kina kuhusu biashara hii

    unachelewesha upishi kwamaana ipi mkuu, wakati wa kuwasha ama hauwaki ipasavyo ukilinganisha na mkaa wa miti?
  14. Multpurpose

    JamiiForums Tanzania Mkaa wa karatasi: Naomba kufahamu kwa kina kuhusu biashara hii

    Tujuzane Mbinu za utengenezaji, Faida, na Hasara za kutumia mkaa huu wa karatasi, , Kwa wenye ujuzi Tafadhali.
Back
Top Bottom