Recent content by mullo gabriel

  1. M

    Hivi kuna mtu anaishi maisha na kazi ya ndoto yake hapa Tanzania

    Labda hujui ulichiandika ila ili mtu ajue maisha na ndoto zake halisi ni lazima mtu uyo awe mtakatifu sana maana amini kua dunia ni siri kubwa labda hujui yu, hata wazungu karibu 90% ni watumwa tu ka wewe, ktk ulevi, ktk zinaa, ktk vyeo, ktk starehe binafsi etc so maisha na ndoto zako iko...
  2. M

    Nguvu ya kiroho nyuma yako ndiyo itaamua ufanikiwe au lah!

    Ulimwengu wa roho ndio ulioshikilia nafasi zote zilizoko duniani, tofaut ni kwamba nafasi za Mungu mkuu ni moja na hufanana kwa watu wake wote, ila nafasi za ulimwengu wa kibabeli ndo hatar cz nafasi hizo ndizo zenye mambo hayo ulioandika hapa, kule mwenye nguvu hula na kuwamaliza kbs wadhaifu...
  3. M

    Ninahama CRDB; ni benki gani inayoweza kuwa mbadala bora kwa Dar es Salaam?

    Hii bank nilijua ni mimi tu kumbe ni wengi tunapigwa,, mi nasepa
  4. M

    TBS Bandarini kichaka cha upigaji

    Hii nchi ni kitu cha ajabu sana, inaenda kwa mfano wa tamaa za watu na si utaratibu wa watu, ila iko siku mambo yatakaa tu
  5. M

    Vita ya msemaji na shabiki kikongwe, Kisa ushindi mnono!

    Mkuu kweli unahitaji tena elimu ili upate ufahamu, sjaelewa ulichoandika ila naona kama na wewe ni msemaji tu wa simba na si msemaji wa mpira.
  6. M

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    kweli kabisa had wengine wanajiita hardlife n ukichaa kbs uo
  7. M

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    cccccccc cc ccccc c cc c. c c c xx c x cxxcçc x c xxx x vc c c c c c c c c c c c c c x c c c c c,,c c c c cc c v cc , vzcccc , v,b bvvvvvvvbvbvbbvvvvvbvvvvvbbv vc c vv v c c bv ,bm v " c 5 ; v v,: c c ", c c ; .b ,3b,:+"?,: "._, c "...
  8. M

    Michuano ipi ya World Cup ilikuwa bora sana kuitazama?

    2006 matangazo ya mazuri na mastaa wengi.
  9. M

    Jwaneng Galaxy vs Simba Sc Tathmini ya JF

    gallaxy 3-0 simba afu utasikia et kwa mkapa atoki mtu.
  10. M

    UHALISIA WA TANSANIA YA JUZI, JANA,NA LEO ISIKITISHAO WAIPENDAYO.

    Mkuu Achana na kitu kjnaitwa ukweli, akijawahi kuwa chema kwa muongo milele. ila waue wazike watajua wenyewe atuna kuvumiliana tena.
  11. M

    UHALISIA WA TANSANIA YA JUZI, JANA,NA LEO ISIKITISHAO WAIPENDAYO.

    mkuu ukiwapiga kwenye ukweli hawaji wanakimbia baridia kwa herufi kubwa "" HAWA NI MAJINI WATU"" NA UO NDO UHALISIA.
  12. M

    UHALISIA WA TANSANIA YA JUZI, JANA,NA LEO ISIKITISHAO WAIPENDAYO.

    Najua kuna watanzania wengi ambao wapo kitanzania na waipendayo tanzania sababu tu inaitwa tanzania kwao basi, jinsi iyo kwao inatosha. Habari hii haiwahusu watu wa namna hii ila naomba kuandika haya ili yasomwe na watu ambao wanahisi yakuwa ni wageni ktk nchi hii toka kuzaliwa kwao hadi leo...
Back
Top Bottom