Recent content by Mullahy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ghafla na changamoto ya kutembea

    Duh
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo kwenye mahusiano ila mwanaume wangu ana kipato kidogo. Naombeni ushauri nifanyaje?

    I am into that money transaction business, and to tell you the truth sasa hiv Haina pesa kabisaaa, maana wafanyaji ni wengi sana. Let the man follow his dream anaweza fanikiwa huko kuliko kwenye hizo mpesa
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya matendo yake sina hisia nae tena, nifanyaje?

    Angekua mwanaume ungempa huu ushauri??
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

    Ukionekana unamzidi sana akili atakuletea kigezo sio bikra
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

    Yani hii ndio reality ya wanaume wa sasa, Kila kikwazo wanachoweka kwa wanawake ni kulinda inequities zao, tuna kizazi Cha wanaume waoga sana inatia shaka.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Kuvutiwa in which sense? Mishangazi wengi sahiv tunavutiwa na waume zetu tuu maana option nje ni zero🤣..... Sema hiu Uzi bila kumtaja Extrovert ni uongo......from his comments jamaa ana tabia za kiume sana, mm namkubali huyo sana
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya uishi na mtu usiyempenda lakini unapata kila kitu, au unayempenda lakini hawezi kupa huduma zote?

    Brother wew unajengewa mnara, sanamu itakua ni disrespectful......inatia moyo kuona bado Kuna wanaume wana akili timamu kabisa
  8. M

    JamiiForums Tanzania DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Ni kweli wameanzisha hii huduma na mm niliiona walinitumia sms kwenye kifurushi (sio kwenye simu)
  9. M

    JamiiForums Tanzania Manabii wanapingwa sana ila alichokifanya nabii Clear Malisa ni kitendo cha kishujaa.

    Umesema yote kaka hujabakiza, wanaojiita manabii waleo wengi ni watoa neno maarifa
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaowalea watoto wa kike bila kuwafundisha kazi za nyumbani mnawaandalia mazingira gani wakiwa wakubwa?

    Na Kuna sisi familia zingine hatuvamiwi na wezi it means yeye kama baba Hana Cha kufanya
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

    Mm ni mlokole na nnafanya hicho alichokua anafanya mkeo,(kuombea watu madhabahuni) lakini Hilo kanisa sio mahali sahihi pa mkeo kuendelea kusali maana hawana heshima kwa ndoa, there is no way utamuheshimu mchungaji( mwanaume ) more than unavomuheshimu mumeo hata biblia inapingana na...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

    Ya ukweli sana
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

    Umesema yote brother
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nina nywele zenye asili ya unjano njano. Msaada wa dawa au ushauri wowote

    Watu wa kusini(mtwara na Lindi) wanalitumia neno kunyata kumaanisha kuonekana mbaya wa sura
Back
Top Bottom