Hizi ni data chache tu za mtazamo wa mkuu wa nchi anavopenda michezo.
Kama mkuu kabisa wan chi alisema lazima awalete Real Madrid 2010 wacheze uwanja wa Neshno, sijajua watacheza na Yanga, Simba au Azam
tunawasubiri
Akiwa Spain, alikwenda uwanja wa Real Madrid, akapiga picha...