Laptop for sale!.

Yegomasika

JF-Expert Member
Mar 21, 2009
13,164
61,249
1. Model name: SONY VAIO.
2. Intel Core i3 Processor.
3. 4GB DDR3 SDRAM
4. Multiformat DVD+RW/CD-RW drive with double layer support.
5. 14" LED-backlit LCD widescreen display.
6. 500 GB serial ATA hard drive (5400 r.p.m).
7. Windows 7 Professional Edition 64-bit OS preinstalled.
8. Weght 5.3LBS & measure just 1.5" thin.
9. Built in 1.3MP motion eye webcam with microphone.
10. NVIDIA Ge Force 310M graphics.
11. Software package includes,
-Microsoft Works SE 9.0
-Microsoft Office Home & Student 2007.

NOTE: This is a brand new Laptop, never used!.
PRICE: US$1300.00
 
Mtaji wa kununua nyingine??

UNazo ngapi mimi nataka 12 unazo??? na bei inakuwaje? USD 800 itafaa bana usitake faida kubwa maana ukiangalia Made in China zinauzwa dola USD 300-500 sasa wewe unataka kununua nini? Ndege nini???
 
JF readers, this is the best thread around. It has news and information you sometimes don't get from the news media..
Go JF Forum and continue to keep us informed. Information is knowledge and knowledge is wealth..
 
UNazo ngapi mimi nataka 12 unazo??? na bei inakuwaje? USD 800 itafaa bana usitake faida kubwa maana ukiangalia Made in China zinauzwa dola USD 300-500 sasa wewe unataka kununua nini? Ndege nini???
Original Pastor, nikikuuzia $800 kwa kila moja mradi wangu wa sangara utakufa. Hapo hakuna faida kubwa, na wala sina haja ya kununua ndege-ungo nilionao unanirusha popote nitakapo. Thank you very much for your input.
 
1. Model name: SONY VAIO.
2. Intel Core i3 Processor.
3. 4GB DDR3 SDRAM
4. Multiformat DVD+RW/CD-RW drive with double layer support.
5. 14" LED-backlit LCD widescreen display.
6. 500 GB serial ATA hard drive (5400 r.p.m).
7. Windows 7 Professional Edition 64-bit OS preinstalled.
8. Weght 5.3LBS & measure just 1.5" thin.
9. Built in 1.3MP motion eye webcam with microphone.
10. NVIDIA Ge Force 310M graphics.
11. Software package includes,
-Microsoft Works SE 9.0
-Microsoft Office Home & Student 2007.

NOTE: This is a brand new Laptop, never used!.
PRICE: US$1300.00

Mkuu hii Laptop is it SZ series?
 
Mkuu hii Laptop is it SZ series?
Sony hawatengenezi tena hizo SZ series, hii ni CW series. Tatizo la hii tu ni kwamba haina Blue-Ray Player, vinginevyo ni nzuri sana. kwa sasa wana i5 & i7 ambazo ni bomba sana!.
 
unaweza ukaniwekea picha kama sio usumbufu sana?
9748868_ra.jpg
 
Mambo ya sony sio mchezo, tatizo ni uchumi wa bongo na hiyo bei yake!!
Kuna msemo usemao kwamba "Fanya kitu roho inapenda". Uchumi wa bongo kila mtu anafahamu lakini usitufanye watu tuwe too cheap kwa kuwa tunanunua vitu ambavyo sio genuine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom