Acheni chuki dhidi ya Rwanda. Tena sio Rwanda tu,adui hapa ni Rwandese Tutsi. Mbona hamuwasemi wenye asili ya Uganda, Kenya, DRC,Malawi, Zambia,Msumbiji,Comoro? Wamejaa tele hapa Tanzania lakini kila kukicha nyie ni kuwasema wanyarwanda (Tutsi). Kwanza mipaka hii ni superficial iliwekwa na...