Yaani inaonekana the state walitaka kuingiza mtu kitalani mwaka huuu 2023 atawale KWA miaka 12 HADI 2035!!!huyo jamaa anaitwa fdr jina la Rais wa marekani wanamfananisha na aliekuwa Rais wa marekani Franklin Delano Roosevelt (Fdr)
Mkuu
Kwahiyo ile ishu ya fdr kuingia kitalani imeyeyuka!!?
Mi nilidhani hilo tukio lita leta domino effect KWA mapapa kuanguka hasa watakaohudhuria musiba cyprian au!!!?
Kwamba picha ndio linaanza rasmi au sio!!!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.