Recent content by MulegiJr

  1. MulegiJr

    SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    Upatikanaji wa Taarifa Bora kwa Rufaa, kutoka Zahanati hadi National Hospital, Bila kubebwa na mgonjwa itaongeza Ufanisi katika Mambo mawili. 1. Kumuondolea gharama mgonjwa ya kusubiri, Muda mrefu bila matibabu, i mean kuanza kutegeneza appoitment mpya. Maana mifumo itaongea na taarifa za...
  2. MulegiJr

    SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    TUNAELEKEA MWISHO, MWISHO, Je Hali ya utunzaji wa kumbukumbu za malipo, wagonjwa, Ujenzi katika vituo vyetu vya kutolea Huduma zipo sawa!! Je tunaweza kukubaliana kwamba tunaweza kutumia Mifumo iliyopokuboresha utunzaji wa kumbukumbu za wateja na shughuri kadha wa kadha.
  3. MulegiJr

    SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    Tehama inaongeza Usiri wa taarifa za mgonjwa, kutoka idara moja kwenda ingine.
  4. MulegiJr

    Kuosha mikono safarini, wakati na baada ya kula

    Ahsante. Sema unaniattack sana.
  5. MulegiJr

    Kuosha mikono safarini, wakati na baada ya kula

    Ahsante sana, Dr. hoja hapa inawezekana siyo mimi, kuna watanzania wengi sana wanakutana na aina ya kitu nilichokiibua hapa. Tuangalie extent ya jambo ili kwenye jamii yetu, Je linaweza kuzuirika?
  6. MulegiJr

    Kuosha mikono safarini, wakati na baada ya kula

    Jana nilikuwa Safarini kutoka Moshi Dodoma, nilipanda Bus ya Shabiby, tulipofika Babati tukashuka kula, nilipofika eneo la kuchukua chakula nikagundua Siku tatu mfulizo nimekula chipsi so siwezi kula tena chipsi nikasogea kwenye wali na Samaki nikavutiwa, nilipochukua msosi nikawaza kuchukua...
  7. MulegiJr

    SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    Maisha Bila, Mifumo imara ya tehama yanatokea kama yanayoingiza Hasara NHIF, utambuzi wa Mnufaika Ni moja ya Faida kubwa, kama ikifanyiwa uwekezaji kitehama. Kila kukicha NHIF inakamata watu na kufungia Vituo solution ni utambuzi sahihi wa Wanufaika, why not strategy and other insurance Company??
  8. MulegiJr

    SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    Uzalishaji wa taarifa sahihi za mapato, matibabu, Na vifaa tiba zitasaidia ukuwaji wa Sekta ya Afya.
  9. MulegiJr

    SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    Umeelewa au umejibu kwa mihemko, uonekane umejibu? Wapi nimeandika hatuna standard guideline za dawa? Wapi nimeonyesha uhaba wa knowledge upande wa Dawa, wapi nimeonyesha kuna uhusiano wa medication na Tehama. Soma vizuri uelewe concept, then njoo na Hoja ya Either twendelee na mfumo tulionao ni...
  10. MulegiJr

    SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    Hongera kwa kwendelea kuwa Moja ya mafanikio ya Andiko ili, lifike mbali na likawe chachu ya nguvu katika uwekezaji wa Tehama.
  11. MulegiJr

    SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    Why Vituo vya kutolea Huduma vya private hakuna upotevu wa mapato? Sababu ni Usimamizi Bora wa Huduma unasaidiwa na uwepo wa mifumo bora ya Tehama kila katika eneo la Huduma, Uboreshaji wa mifumo ya kitehama utaleta Uwajibikaji na kuongeza ufanisi.
  12. MulegiJr

    SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    Matumizi ya Tehama yataongeza Uwajibikaji, ni nchi pekee ambayo bado mifumo ya Biometric inapatikana Halmashauri tu, Vituo vya Afya hamna, hospitali za wilaya hakuna, Na uko ndiko uwajibikaji unahitajika, lengo ikiwa ni uwepo eneo la kazi na kutatua Changamoto za Watu kwa haraka na kwa unafuu.
  13. MulegiJr

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kituo cha Afya kumuona daktari 8000 Wapi uko mzee? Hiyo gharama sina hakika kama ipo kwenye vituo vyetu nchi hii.
Back
Top Bottom