Recent content by mukulupapaa

  1. mukulupapaa

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    kwa kutokujua nini wanafanya ndo maana kifo kuugua kwa mpaka kifo walificha na wakaendeleza kupambana eti mi anapiga kazi(Pm majaliwa)
  2. mukulupapaa

    Zitto Kabwe: MSD haina mtaji wa kununua dawa na mtaji wa MSD ni bilioni 500, sawa na fedha ilionunua ndege moja

    Yaani kilimshinda kuwa rubani tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. mukulupapaa

    Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

    wcb walivyowajinga eti li salam na li anko shamte limewahi ku comment ili ionekane kweli,kumbe mchongo tu
  4. mukulupapaa

    Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

    Si kama marehemu tu alivyoamua kuwamaliza asiokubaliana nao???na hukusema kitu wakati marehemu anaua watu hovyo
  5. mukulupapaa

    Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Kwanini huo usalama uliruhusu mtu mgonjwa kuingia ikulu???tuanzie hapo kwanza
  6. mukulupapaa

    Sakata la Morrison Kinachoendelea

    Mlalamikaji analipa zote
  7. mukulupapaa

    GE2020 Sakata la Sheikh Ponda na "masheikh rasmi"

    kwanza hakuna kiongozi wa kikristo anayekubalika na wakrsto halafu akasema eti mchague magufuli
  8. mukulupapaa

    GE2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

    ni kweli maana hakuna hata mmoja aliyekamatwa
  9. mukulupapaa

    GE2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

    huyo mtembea na viyoyozi ni mzima??mnafanya makosa yale yale wakati mgombea wenu magonjwa kama yote[emoji3]
  10. mukulupapaa

    GE2020 Hii Kweli Mashine; 96% Kampeni Hajachoka Mwili Wala Akili

    umecheka umejichekesha kimalaya malaya
  11. mukulupapaa

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    mwambie hata ww,tena ukiviacha hvyo unakuwa vizuri tu
  12. mukulupapaa

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    kula nyama,iwe ya kuku au ng'ombe na matunda+mboga za majani,siku nyingine kula jamii ya haragwe,next time kula mayai ya kuchemsha ma2,mbona rahsi tu
Back
Top Bottom