Recent content by mukubwa5

  1. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Mama Samia aiteka Vunjo

    Mbona hamtaki kura za wagonjwa huyo mama anafanya nn hosptali
  2. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo huku mbeya hakika ukawa ndio serikali tawala mpya

    Makamanda mungu amehamua kutukomboa na ukoloni mamboleo tusirudi nyuma
  3. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Video: Ufunguzi wa Kampeni za Ubunge wa CCM Ubungo Masaburi-2015

    Hawezi kupata huyo mbinu zake ni chafu za kuvalisha vijana sare za chadema
  4. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Mdo maana yake kakaliwa huyo
  5. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Kweli Kikwete na CCM wameshikwa pabaya!

    Kimesha mfia tayari mazishi mdo tunasubiri tarehe25/10
  6. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Kila anachojiapiza Kikwete hakifanikiwi, hata hili hatatoboa

    Ukawa ni mpango wa Mungu kutukomboa na ukoloni mamboleo
  7. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Angalia Tsunami ya Magufuli Mtwara jana

    Yeye mbona kahonga kwenye kura Zach maoni ya ubunge mpaka takukuru wakamtia korokoroni singida.
  8. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Kigogo CCM Kahama ahamia CHADEMA

    Kama mcharo
  9. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Lowassa kushinda uchaguzi mapema sana.

    Wanangoja goli la mkono
  10. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Davis Mosha: Nitaifuta CHADEMA na masalia yake Moshi Mjini

    Mwambie hanunue hicho chuo ili afufue timu ya ushirika mdorobo we.
  11. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Davis Mosha: Nitaifuta CHADEMA na masalia yake Moshi Mjini

    Kwanza huyo tonny matafu na kigugumizi mdo walikula pesa ya matilda buriani arusha na ubunge hakupata sera mangi wachana na kuifuta chadema waeleze wanamoshi sera zako
  12. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Mabango ya Lowassa 2015 sio Kampeni

    Subiri dawa iwaingie vizuri hayo night manyunyu mtalia sana magamba mvua ikianza
  13. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Lowassa apata wadhamini zaidi ya Million moja laki tatu, Aweka rekodi mpya kwa wagombea urais

    Huyo mdo mpango wa mungu hakuna wa kumpinga mungu
  14. mukubwa5

    JamiiForums Tanzania Lowassa arudisha Fomu ya kugombea Urais Kupitia UKAWA, leo tarehe 1 Agosti, 2015

    Tupia picha zaidi mkuu
Back
Top Bottom