Recent content by Mukson

  1. Mukson

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Infinix smart2 pro ipo sokon Specifikation Ram 2gb Storage 16 Security finger print and face unlock Camera 13+2M AF/8M FF Bettry 3050mAh Network 4g Lain 2 Ipo at good condition na risiti unapewa Bei ni 200000 haipungui hata sent Location iringa Kwamawasilino zaid nichek kwa namba 0655559536...
  2. Mukson

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Kwa mkaz wa iringa natafta sumsung s6 budjet 200k iwe haina crecks na iwe at good condition
  3. Mukson

    Wauza smartphone tukutane hapa

    S3 unauza bei ngap
  4. Mukson

    USHAURI: Maumivu ya kifua upande wa kulia (Chest side pain)

    Mkuu samahan namie pia nasumbuliwa na tatizo kma Hili nimezunguka hospital lakin bado sijapta suluhisho vip ulipata mwenzangu ulifanikiwa kupata tiba?
  5. Mukson

    Wapi wanauza viatu, nguo za jumla kwa bei rahisi

    Vip ulifanikisha kupata mzigo huo kwa bei tajwa hapo ndug
  6. Mukson

    Juice dispenser zinapatikana

    Nina laki6.5 natafuta juice dispenser yenye container mbil
  7. Mukson

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Jaman naiomben mrejesho kwa wale mlo amua kuingia katika kilimohik cha maharagwe mwaka jana ili nasie tuhamasike zaid na kilimo hik kma mlivyo hamasika ninyi Karibun kwa mrejesho
Back
Top Bottom