Milioni 1.5 (negotiable)Weka bei mkuu
🙂🙂Daaah umeongea kwa ukali kama vile kuna mtu unamkomoaNina laki 6 nahitaji hiyo kitu la sivyo nitaaendelea kuuzia juice kwenye ndoo
Sorry kaka wakurya ndo tulivyo🙂🙂Daaah umeongea kwa ukali kama vile kuna mtu unamkomoa
Bado hujabadilika? Mwenzio nimehamia kwenye beseni...Nina laki 6 nahitaji hiyo kitu la sivyo nitaaendelea kuuzia juice kwenye ndoo
Aisee upo mbali mwenzio mtaji umekaa vibayaBado hujabadilika? Mwenzio nimehamia kwenye beseni...
Inategemea kama ni mkojo wa punda, unakaa hata mwaka.hivi hyo juicy dispensary juicy inaweza kukaa huko hata wiki bila kuharibika?VP kama umeme hamna inaweza kuharibu juicy?
Dah... vyuma hivyo viwekee grease uchanganye na alovera...Aisee upo mbali mwenzio mtaji umekaa vibaya
Inategemea kama ni mkojo wa punda, unakaa hata mwaka.


we mzee hahahaHivi ukinunua hili inachukua muda gani hela kurudi??? Maana million moja na nusu sio mchezo eti
bei ya mwisho
Hahaha una dhambi dah!Inategemea kama ni mkojo wa punda, unakaa hata mwaka.