Recent content by MUKONZI NA BINO

  1. M

    Mshahara wa Balozi wa Tanzania

    Nijuavyo ni kuwa mishahara ya mabalozi ni sawa na wanalipwa kwa T-shillings. Mishahara yao wanaingiziwa kwenye accounts zao hapa hapa nyumbani. Huwa hulipwa allowance kwa dollars. Hizo hutumiwa huko walipo na viwango hutofautiana kutegemeana na nchi aliyopo Balozi. Mfano allowance atakayokuwa...
  2. M

    Gabon: Mtoto wa Rais ateuliwa kuwa Msaidizi wa Rais

    Kwa wenye demokrasia yao ni sawa, sio kwetu sisi tunaojifunza/kuletewa hiyo demokrasia. Mabeberu noma sana.[emoji848]
  3. M

    Hawa ndiyo Marais pekee waliokuwa na Intelligence kubwa katika lugha

    Mkuu hili tatizo ni janga kwa walio wengi...bahati mbaya sana mkulu yeye anaangaliwa na kila mtu..ila hata wewe jaribu kuangalia kila unayeongea nae kiswahili..lazima atachapia tu...wengi kwenye sehemu ya kutamkwa "R" wanatamka "L"...mfano badala ya kutamka "ramani" mtu atasema "lamani"...
  4. M

    Hawa ndiyo Marais pekee waliokuwa na Intelligence kubwa katika lugha

    Mkuu naomba kuuliza.. kwani kwa upande wako mtu kujua kuongea lugha ya Malkia ni mbaka awe na lafudhi ya watu waliozaliwa huko?...Naona kuna Waarabu na watu wa mataifa mengine wenye lafudhi nzito kiasi kwamba kwenye "the" wanatamka "ze" lakini ukiondoa hizo dilect zao bado utakuta wanazungumza...
  5. M

    Hawa ndiyo Marais pekee waliokuwa na Intelligence kubwa katika lugha

    "Therathini" = Thelathini Kiswahili ni kigumu kuliko tunavyofikiria hivyo hata sisi wakosoaji tujiangalie wenyewe kwanza kabla hatujaanza kukosoa wengine.
  6. M

    Tanzania Enzi Hizo

    Kwa wale ambao hawakuwepo kipindi hicho.
  7. M

    Siku Mwalimu Nyerere alipotua Baghdad na kumfokea Saddam Hussein

    Mkuu wakati Mwalimu anakwenda lraq alikuwa bado President wa TZ. Vita ilianza si muda mrefu sana baada ya ziara yake. Vita ilianza 22/09/80 Mwalimu akiwa bado Rais na viliisha rasmi tarehe 20/08/1988.. Mwalimu alitoka madarakani vita vikiwa bado vinaunguruma.
  8. M

    Siku Mwalimu Nyerere alipotua Baghdad na kumfokea Saddam Hussein

    Mkuu nimerekebisha kuhusu Mwalimu kutokea Vatican. Mwalimu alitokea Dar kwenda kwa Saddam.
  9. M

    Siku Mwalimu Nyerere alipotua Baghdad na kumfokea Saddam Hussein

    Mkuu Mwalimu alikwenda lraq mwaka 79 baada ya vita vya Kagera. Na safari yake ilikuwa ni maalum ya kwenda kuonana na Rais Saddam Hussein. Hivyo walitoka Dar wakasimama Eritrea kujaza mafuta kisha wakaendelea na safari mbaka kwa Saddam. Kwenye maongezi yao ndipo alipomshauri kuwa asijidanganye...
  10. M

    Siku Mwalimu Nyerere alipotua Baghdad na kumfokea Saddam Hussein

    Ni kweli Mwalimu alikwenda Baghdad. Ziara yake ilikuwa ni kwenye nchi kama 3 hivi. Alikwenda Baghdad akitokea Vatican.
  11. M

    Siku Mwalimu Nyerere alipotua Baghdad na kumfokea Saddam Hussein

    Mkuu uliyozungumza ni kweli kabisa kuwa Nyerere alikutana Saddam..najua utapingwa sana kwenye hili. Lakini hicho unachokizungumza ni kweli walikutana na labda niseme tu "hakumkalipia" bali alimpa ushauri. Ukitaka habari zaidi kuhusu hiyo habari kwa kina njoo inbox nitakupati jina la mmoja wa...
  12. M

    Natafuta eneo la biashara ya kuosha magari

    Salamu wakuu. Natafuta eneo zuri la kufungua biashara ya kuosha magari. Hata kama kuna mtu anapangisha naomba tuwasiliane. Mimi nipo Dar na biashara hiyo nataka kuifungulia hapa hapa Dar.[emoji120][emoji120]
  13. M

    Rais Magufuli amewahi kuwa Mbunge, na Waziri pia huko nyuma. Sikuwahi kuusikia mchango wake wowote Bungeni, je kuna mwenye kukumbuka mchango wake?!

    Nafikiri upo sawa, waziri kazi yake awapo bungeni ni kuiwakilisha na kuitetea serikali anayoiwakilisha kupitia wizara anayoitumikia.
  14. M

    Nauza vifaa vya ujenzi used

    Nimekutumia mkuu.
  15. M

    Nauza vifaa vya ujenzi used

    Imeishachukuliwa mkuu...
Back
Top Bottom