Mwenye hiace anitafute aniajiri kama dereva wake hapa Dar nifanyie kazi pande za gongolamboto to chanika Hesabu kwa siku 50,000/= kwa wiki 250,000/= piga 0714064767
sawa asante Sana mkuu maana mi nataka kufanya kazi kwa amani sio mambo mengine sijui pikipiki umeipata wapi kama Ni wewe haina tatizo otherwise ntashukuru
hapana alileta ikiwa na yeye SI ya kwake nikamwambia naomba nimuione mwenye pikipiki niingie nae mkataba akakataa nikaogopa labda kaichapa huko halafu ananiletea mimi
sija maanisha mpya nimemaanisha iwe na angalau ya kufanya kazi pale kimara mwisho kwa ajili ya abiria sasa ukileta mbovu mbovu zilizochoka zimetumika mkoani vijijini au pita pale uone Noah zinavyong'aa pale ILA sio mpya zipo kwenye muonekano mzuri hata abiria ukiita wanapanda
Mimi ntafanya kazi maana Kuna mabosi wengine wanaleta Noah mbovu nashindwa kufanya nayo kazi kubeba abiria WA buku buku matokeo yake wanasema Ni bora wapande daladala
Noah ya biashara inahitajika hapa hapa Dar es salaam mwenye nayo anisaidie kuniajiri niwe namletea hesabu kwa siku 30,000/= lkn makidhiano lazima yawepo zaidi namba yangu Ni 0714064767
Kuna watu wengine humu jamii forum wanachekesha wanaweza wakakuita njoo uchukue Noah wanakuletea Noah imechoka hata askari akiona lazima akusimamishe yaani huu mtihani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.