Watanzania wanalazimishwa kuwa gizani na Mafisadi na Symbion wanaolipwa USD .42cents kila unit. Badala ya kukabiliana na matatizo ya Watanzania kama swala la umeme, CCM inajikita kwenye mambo ya kipuuzi ya kumtetea Zitto. Mgao wa umeme ni wa kutengenezwa na mafisadi ya CCM. Mafisadi na symbion...
CCM iliwekeza sana Kwa Zitto Kabwe na walimuamini kuyafikia malengo yao. Wakubwa ndani ya CCM wameshtuka sana na kuingiwa na uoga. Mzee Chikawe, Nape Nauye, Rose Migiro na viongozi waandamizi pale Lumumba wanasema wameingiwa na baridi. Hawaoni dalili nzuri baada ya 2015
Huu ntego ulikuwa ni...
Tanesco wananunua umeme kwa bei ghali. Muhongo analetewa miradi ya bei nafuu kweli lakini yote anapiga Chini. Muhongo naye ni fisadi tu. Asikudanganye mtu. Hana maana kabisa !
Hotuba ya karne, imekuwa janga la karne
Ikiwa PCCB inafanya kazi yake kwa weledi, Basi ingeanza kumchunguza Jerry Silaa kuhusiana na hizi tuhuma. Wakina Lowassa wanaitwa mafisadi na wakina Nape, wakati mafisadi hatari chipukizi kama Jerry Silaa wanapuuziwa. Angalieni madudu yake kama kweli mnaijua kazi yenu......
Jerry Silaa...
William, itakuwa ni tusi kubwa sana kwa mtu anayetuhumiwa kuwa shoga kama wewe kuipa Chadema ushauri nasaha. Nadhani ushauri huo ungeipa chama Chako. CDM haiendekezi hizo tabia. niwie radhi kakangu. Hadi pale utakapotoa maelezo kuhusu hizo shutuma ndipo tutakapokuelewa
Ukiulizwa maswali kama hayo utaambiwa una wivu...............Bora wafanye hivyo ili wazidi kumlinda Juma Kapuya. Wanaitwa wana mtandao. Hata watoto wao wakiuza madawa ya kulevya hakuna wa kuwakamata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.