Recent content by mukamba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kigamboni New City Master Plan

    KUNA TETESI KWAMBA ENEO LA KIGAMBONI WAMEPEWA WAMAREKANI. LENGO KUPAFANYA PAWE BONGE LA JIJI. Naomba msaada wenu wanaJF.
  2. M

    JamiiForums Tanzania wanafunzi hawa ni wanamapinduzi

    jamani tukumbuke CHAKULA ,MALAZI NA MAVAZI NI MAHITAJI YA MSINGI KWA BINADAMU WOTE. WANASTAHILI KUDAI NYONGEZA.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kulikoni magazeti ya Tanzania?

    baadhi magazeti na vyombo vingine vya habari vinamilikiwa na mafisadi. hivyo wahariri wavyombo hivi hawako huru. wanabana kutoa habari ambazo zinaweza kuchochea mageuzi ya kisiasa. hili ni tatizo kubwa. Hongera mwanahalisi na raia mwema - YOU ARE DOING ALOT KULETA MAGEUZI!!!
Back
Top Bottom