Kiukweli the way forex inavyobikeep busy nachoona jamii forum ndio imepoteza mvuto kwa upande wangu.nakosa muda wa kuingia humu.ule muda nlikuwaga naingia jf najikuta nimezama tu kwenye forex.sasa wale wa kusubiri amsha amsha mtasubiri sana kwa kweli.
Wacha na mimi niseme kidogo
Mimi ni mwanafunzi ktk hii bishara nina siku 15 tu leo toka nianze nimeianza kwa uoga sana sana lakini mpaka leo tarehe 15 asubuhi saa 1 nimesharudisha zaidi ya asilimia 80 ya pesa nilio anza nayo kama mtaji.natumaini mpaka mwezi uishe nitakuwa nimepata faida zaidi ya...
Niko na baadhi ya vifaa tuwasiliane nikuuuzie bei nzuri.meza nzuri kubwa ya kukatia nyama ya chuma pamoja na nguzo za chuma za kutundika nyama.ziko ktk hali nzuri nilifunga biadhara yangu.
Tatizo lako you are taking it too personal waliocomment kwenye hii post mbona wengi tuuu why ujihisi wewe ndio unapashwa na mipasho ya pwani?wapi nimekupinga?nafurahi kuona bado unasupport comment yangu huku unanitusi." If there is no demand,then create one upate pesa".....post za nyuma sio...
International financial mgt hii tumeisoma kama one of the largest business in the world na haina barriers to entry....anyone can enter at any time akitaka.hata hivyo mnaposema mtu anacheza na akili za watu kwani hamkusoma kwenye marketing if there is no demand and you want to sell then create...
Nahtaji kufika huko tmt lakini nisaidieni kujua.nikija lipia mafunzo je hizo software nazipata bure ama kuna malipo gani mengine niyategemee kabla sijaanza kutrade?
Afdhali maana tumesubiru sana.ila ontario hakuna nafasi za upendeleo kwa kina dada?alafu darasa litachukua muda gani ikibidi tuombe likizo makazini.tumaomba utupatie maelekezo mapema....wako mwanafunzi mtiiifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.