Nadhani swali lako rahisi sana kujibika angekua amechukua namba ya usajiri ya huyo nes hapo tungetia shaka Ila kwa habari ya majina ni kawaida kufanana tena sana
Kinachotofautisha MTU na MTU katika maswala mbalimbali hasa taaruma ni namba ya kufanyia mtihani kama nes ana mamba yake na Mwigulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.