Kuna watu wanasema mimi hainihusu, una Baba, Mama mjimba Shangazi kaka dada wote wako kwenye hili gereza, mbaya zaidi wanaotafuta kazi na walioko mashuleni linawasubili kwa hamu hata waliosema ndiyooooo. Ndugu zao wamo. Walichofanikiwa ni kuua nguvu ya vyama vya wafanyakazi .wanaenda kwenye...
Kuna shida kama taifa. Wakulima hupewa ruzuku kufidia gharama za uzalishaji na sio serekali kununua . Soko la Dunia likoje ?? Ni Ngumu kushindana na soko .
Tunaomba takwimu , maana uwa tunapewa takwimu za makusanyo ya mabilioni na sio makosa gani yameongoza na kwanini na nini kifanyike. Hili ndio tatizo letu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.