Recent content by mujulu

  1. M

    kama ulishwawahi kuibiwa Project yako na unamfahamu aliyekuibia ni wakati wako wa kulipwa sasa

    W Wadau ni miaka mitatu tangu niandike hii meseji sasa naomba nitumie nafasi hii ni kweli yapo maumivu kwa watu wengi hasa upande wa IT, Computer science na Related field, baada ya kuongea na wadau mbalimbali wenye maumivu kama hayo tumekuja na suluhisho ambalo tutalitoa soon, na hakika...
  2. M

    kama ulishwawahi kuibiwa Project yako na unamfahamu aliyekuibia ni wakati wako wa kulipwa sasa

    Real ukiweka public kama haina restrictions basi huwez sema umeibiwa , sheria ipo wazi kabisa
  3. M

    kama ulishwawahi kuibiwa Project yako na unamfahamu aliyekuibia ni wakati wako wa kulipwa sasa

    Watu wengi wameumizwa na watu wameibiwa project zao messenge nazopata zinatisha , but lazima kieleweke
  4. M

    kama ulishwawahi kuibiwa Project yako na unamfahamu aliyekuibia ni wakati wako wa kulipwa sasa

    Au yeye akuuzie Facebook yake tu kwani kuna lisolozwkana
  5. M

    kama ulishwawahi kuibiwa Project yako na unamfahamu aliyekuibia ni wakati wako wa kulipwa sasa

    Usimuuzie lazima ukikaa vizuri uifanye na ikutoe mi ndo ushauri wangu , kwa lugha nyepesi jipange kumtoa zurgbag kwenye bafasi
  6. M

    kama ulishwawahi kuibiwa Project yako na unamfahamu aliyekuibia ni wakati wako wa kulipwa sasa

    Kaka unataka kusema kuwa hata Kaka unataka kusema zugbag alipita na project ya matwin , sasa kumbe ni hatari
  7. M

    kama ulishwawahi kuibiwa Project yako na unamfahamu aliyekuibia ni wakati wako wa kulipwa sasa

    Nimekwambia usimseme , hapa aliyekuibia , we comment chochote siyo kumtaja alokuibia
  8. M

    kama ulishwawahi kuibiwa Project yako na unamfahamu aliyekuibia ni wakati wako wa kulipwa sasa

    Kaka jaziba ishaishagha ni muda MFA mrefu sana , nlikuwa na watafutia angle nimehisi wanakaribia , lakini nkidadavua , njia hapo wanaweza kuzibrock kabla , ila kwa walioibiwa ntawasaidia hizo njia na sitaki kulipwa MTU asije akajua natafuta kulipwa no no. Battle nimerekebisha mkuu thanks
  9. M

    kama ulishwawahi kuibiwa Project yako na unamfahamu aliyekuibia ni wakati wako wa kulipwa sasa

    Nawasalimu wana JF, naamini kwenye jamii zetu tuna wagunduzi wengi wa vitu vipya kwa upande wa teknolojia ila shida ambayo imekuwa kikwazo kikubwa , ni hayo mawazo yamekuwa yakikumbana na vikwazo wakati wakuyatekeleza pamoja na vikwazo kedekede ikiwemo kukosa mtaji. Fedha za utafiti, wataalam...
  10. M

    Matajiri 10 hawa hapa na 80% wamewekeza kwenye technology

    Nakataaa , Nakataa tusiuhenzi umaskini , tubadilike and changes begin with you
Back
Top Bottom