Matajiri 10 hawa hapa na 80% wamewekeza kwenye technology

Mkuu nimekupata ila nkwambie , hiuluze ukaja na solution ya tech ya kufanya jambo ambalolimeshidikana kwa jamii yetu unadhani hizo sababu ulizohainisha zitakuwa applied ndo maana nkasema nimekuelewa ila , ningeshauri uiwekee Conditions , mfano provided that haujagundua kitu kipya kwenye tech basi utatakiwa .... Hivyo
Naelewa unapotokea ..sema kuvumbua kitu kipya ni kitu kizuri sema kukifanya kiwe biashara ndipo inakuja changamoto. Facebook, Instagram ni free services ukijiuliza wao wanapata wapi pesa unarudi kwenye basics.. wao wametengeneza platform ya makutano na kila anayekuja hapo ndio commodity yao.. Idea ambayo imekuwepo toka kipindi Cha awali cha magazeti, redio mpaka television.

Kwa kifupi ukianza kuzidisect idea mbalimbali utagundua zimejengwa juu ya the long tradition of existing practice. Vitu vipya kabisa Ni nadra na huenda visiwepo kabisa.. maana kinachouza ni human centered solutions.. na matatizo ya watu hayakui over night.. inapaswa tu uwe na uwezo wa kuyaona Kama matatizo Hata kabla umma haujagundua kuwa ni tatizo.

Henry Ford na Gari.. watu angewaambia anataka kutengeneza gari wangemuona chizi..na farasi waende wapi!? Mobile phones, internet/email vs fax.. uwezo wa wavumbuzi wake ulikuwa kwenye kuona tatizo kabla watu hawajaona kuwa ni tatizo. Kwa dunia ya leo ni Kama opportunity za mtindi huu zinaendelea kufade Kama sio kuisha.

Sasa Ni maboresho tu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Chief nimekusoma nanukuu kuwa " kugundua kitu kipya ni vizuri au kuona tatizo ambalo wengine hawajaliona ni jambo zuri" shida umesema ni kukifanya kiwe biashara HAPO sasa kama unakuwa na utafiti wa kutosha sehemu muhimu ni unataliwa u shughulike na jinsi ya kuifanya iwe biashara utakumbuka kwenye Uzi wa kwanza nlisema shida sio kuwa na wazo LA million 1000000 shida ni kuiconvert ilete pesa na HAPO ndo tunakutana na ushauri wako how to convert into business
 
Nikiwa kama tajiri sijui lini nitatajwa yaani na ukwasi wote huu nilionao sitajwi hata kimakosa tu
 
Africa ingekua watoto wanaendeleza cha Baba tungekua huko, shida akifariki Baba, kila kitu kinakufa
 
Back
Top Bottom