Yote tisa kitu kinachoitwa application kwenye topic yoyote yan Hyper function, Differential.... mie nilikuwa nakuna kichwa then naanza kupiga story za mpira siangaik kuwaza solution
Dini ya kweli ni ipi?? Tupia ndugu kuokoa ulimwengu, maana ukisema huyu ni mfupi basi unakuwa unajua kuwa kuna mrefu zaidi yake. Ebu weka bayana na usisahau wahenga walisema MWAMBA NGOMA UVUTIA KWAKE.
Nilipo sikia hiyo kauli tu, niliwaza mambo mengi na nikagundua ndo maana nchi za watu wazichapa kavukavu bungeni, Hivi katika mijadara ya kuongelea mambo yakitaifa mtu aleta upumbavu wake anaongelea interests za chama chake?? P.U.M.B.A.V.U sana Nape, Akili ndogo Hisiyo tafakari kwa mapana...
Nadhani kati ya watu wasiojitambua vizur nchi hii nawe ni mmoja wapo! watu kama nyie ndo mwaturudisha nyuma kifkra! maana twafanya kazi kubwa kuelimisha taifa linavyo nyonywa na ni nani anaesababisha linyonywe na kubaki masikin kila kukicha, lakin kwa kutokuwa na fikra pana eti apo na wewe...
Wadau mimi nategemea kufanya mitihani hiyo mwezi may mwaka huu hivyo basi natafuta watu waku-discuss nao.
Kama upo Mwanza mjini tuwasiliane kwa kupitia link hii tuone tunayaanzaje masomo mapema, maana mitihan ya board
inaonekana kuwa tishio usipokuwa umejiandaa vizuri na mapema. Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.