Recent content by mujimali

  1. mujimali

    Darassa vs Diamond

    Illogical
  2. mujimali

    Hii ndiyo Range Rover!! Kununua gari nyingine ni ujinga tu!!

    Hivo ndo vitu vinavonileteaga hasira.
  3. mujimali

    Rayvanny, mrithi wa Ngwea kwenye freestyle

    Kaka eeh, hujamuona godzilla, nikki mbishi na wakazi? just to mention few.
  4. mujimali

    Kwanini King Kiba hakuimba wimbo wake wa Aje?

    Ha ha ha..jioni njema braza
  5. mujimali

    Kwanini King Kiba hakuimba wimbo wake wa Aje?

    Nakupuuza, hujui chochote kuhusu mziki
  6. mujimali

    Kwanini King Kiba hakuimba wimbo wake wa Aje?

    Kaka eeh, mi niliona hakuna wimbo ambao ungeweza mpatia award. Ila wewe uliekuwa suprised ndo nataka kujua, ulikuwa unategemea wimbo upi umpe award?
  7. mujimali

    Kwanini King Kiba hakuimba wimbo wake wa Aje?

    Kumbe huu uzi sio mahala pangu. Ngoja niwaachie mashabiki Daah, kweli ulijua atachukua award? Kwa wimbo upi labda? Tujadiliane
  8. mujimali

    Kwanini King Kiba hakuimba wimbo wake wa Aje?

    Nenda kwenye official account ya sauti sol youtube afu urudi tuendelee na mjadala.
  9. mujimali

    Kwanini King Kiba hakuimba wimbo wake wa Aje?

    Braza.. mbona unconditionally bae sio sauti sol ft ali kiba (according to official account ya sauti sol)? Ile nyimbo ni ya wote ni sauti sol and ali kiba, kama ilivyo ile nagharamia alioimba na christian bella. Na kama jamaa angetoa album leo angeuweka pia kama moja ya nyimbo zake. So alikuwa na...
  10. mujimali

    Clouds Radio: Kutoshiriki Fiesta kwamnyima tuzo Diamond

    Hizi habari za kila siku diamond na ali kiba ndo zinadhoofisha mziki wetu. Yani haiwezekani kila siku watu wawili pekee ndo wapewe airtime kiasi hicho.
  11. mujimali

    MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

    Wakamuombe msamaha le mutuz...ha ha ha ha Wasanii wa bongo wanajitahidi ila mwaka huu hukua wao. Ila wakome kutoa flat songs na kuconcetrate sana kwenye youtube views. Tunataka kuona wasanii wa bongo wanafanya collabo na hot artists duniani, I really mean hot artists na sio msanii yoyote tu...
  12. mujimali

    MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

    Diamond katoa nyimbo ngapi bora mwaka huu, na wizkid katoa nyimbo ngapi bora mwaka huu? Ifike mahali wasanii wa bongo wasitoe nyimbo kama mashindano, we want some quality songs na zinazodumu kwa muda mrefu. Wizkid hatoi nyimbo ovyo ovyo ila akitoa anatoa jiwe la maana, namkubali sana tekno...
  13. mujimali

    MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

    Tujuzeni, wengine tupo mbali na runinga...alikiba na diamond nani kachukua tuzo nyingi?
  14. mujimali

    Stand up comedy: Kenya kuna Eric Omondi, Uganda kuna Kansiime na Bongo kuna nani?

    Waanze kuwaangalia akina trevar noah, hasan minhaj, kelvin hart, jerry seinfeld, roy wood, jon stewart etc they can learn something from these people. Hawa watu wanachekesha bila ata kutumia nguvu.
  15. mujimali

    Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

    Nyimbo nzuri. Raymond bado anaonekana kuwa genius katika kuandika mashairi(nimependa sana mashairi yake yametulia sana).Nimependa zile tafsida walizotumia kwenye mashairi yao. Lakini video ni kali though uvaaji na uchezaji hauendani na asili ya nyimbo ( labda kwa sababu saida alitoa katika lugha...
Back
Top Bottom