Recent content by mujaheduun

  1. mujaheduun

    JamiiForums Tanzania Barua ya Waislamu kwa Katibu Mkuu wa CCM Kupinga Mahakama ya Kadhi...

    Kwa wakristo kuna kitu wanakiita memoranderm of understanding hili mwalijua au huu si ufujaji wa pesa
  2. mujaheduun

    JamiiForums Tanzania Karume amtembelea Mansour kituo cha Polisi

    We bwana simiyu halijakukuta ndio maana waweza sema lolote unalojisikia hapo hakuna haki iliyofanywa na polisi mbona alivyokuwa ccm kesi hizi hatukuzisikia ila tu baada ya kuhama huoni kama huo ni ukandamizaji
  3. mujaheduun

    JamiiForums Tanzania Karume amtembelea Mansour kituo cha Polisi

    Yawezekana vp nchi moja kukawa na upande waruhusiwa kumiliki kisha upande mwingine ukawa hauruhusiwi? huo muungano hapa uwapi?
  4. mujaheduun

    JamiiForums Tanzania Kazi ambazo ukimuomba mbongo akusaidie lazima atoke mbio!

    Kujiamini tu
Back
Top Bottom