Recent content by Muhozy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kahama: Wanafunzi waruhusiwe bila Viatu na Sare(Uniform)

    Ndugu yangu usilinganishe maisha ya ukoloni na hivi sasa, wakoloni walitoa elimu wakiwanamalengo yao binafsi na si kwa faida ya waafrika. Nivema tunge shauri serikali itoe sare mashuleni kama wazazi nimaskini lakini inakuwaje wazazi hawahawa wanawanunulia watoto wao nguo za kanisani/miskitini au...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kufundishwa jinsi ya kurekebisha simu na computer (softwares) hata ukiwa mbali

    Ahsante Mkuu hebu nisaidie laptop yangu dell ninapoichaji kasa inakuwa nzito sana mda wote sanasana huganda. Tatizo pengine ni nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    jamani naombeni pia mniangalizie s.1419/0021. nashukuru.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ku unlock moderm

    Usijari hicho ni kiswaenglish mitaala ikiboreshwa kilakitu kitakuwa safi
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ku unlock moderm

    Ahsante Mkuu! Maana kuna moderm za airtel zinauzwa zikiwa unlocked so nikashituka baada ya kusikia zimefurashiwa, sijui pia kuna kufrash na Ku unlock?
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ku unlock moderm

    Naomba kuuliza ukitumia modern ambayo tayari ikiwa unlocked ufanisi wake nisawa tu na ile ya kawaida? Au uwezo hupungua baada ya Ku unlock. Naomba uzoefu wakuu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kozi za Ukaguzi kutoka Adem

    Hivo utaomba kubadilishiwa au? lakini pia impact ya hii kozi ipoje.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kozi za Ukaguzi kutoka Adem

    Habari za asubuhi wadau wote wa jukwaa hili. Napenda kufahamu ukimaliza kozi ya Ukaguzi level ya Diploma waweza kuwa Mkaguzi wilaya au unarudi kufundisha tena? Naomba kuelimishwa.
Back
Top Bottom