Recent content by Muhogota

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wana Kigoma embu jengeni kwenu

    Yaap Kabisa.. Kabisa waliitoa,pia hii mikoa inachangamoto ya Huduma za afya,ni moja ya mikoa ambayo unauhaba wa wauguzi,ukifuatilia tatzo kubwa,wauguz unakuta hawakai kwa matishio mbali mbali,kwahy wanaamua kuondoka tu. Very bad kwa kweli
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wana Kigoma embu jengeni kwenu

    Na usomi wote jamani? Au ni sifa tuu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wana Kigoma embu jengeni kwenu

    HahHah, shida siyo uchawi tuu, watu hawataki kuelimika, wengiwao hamekalilishwa vitu vya kijinga,japo natoka kigoma kuna vitu vinakera ukiwa unavisikia karne hii ya 21,
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walivyorejesha fomu za ubunge Kinondoni kwa mbwembwe

    Bora kuwe na ushindani siyo kizembezembe MTU anashinda tu
Back
Top Bottom