Recent content by Muharam J

  1. Muharam J

    JamiiForums Tanzania Usidanganywe:Anayejua hali ya uchumi wa nchi ni Waziri wa fedha na wala si mtu mwingine

    kumbuka hiyo mil 840 hata kiwanja mbele uenda usipate mbele maisha yapo juu kwa hiyo ndo maana wengi wao wanaishia kupanga tyu
  2. Muharam J

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini athibitisha chanzo cha sikukuu ya Christmass ni cha kipagani

    kufanya mema bila ya kuwa na dini sahihi umeona wap Tunisia akili Kwa hiyo ukimuabudu shetani halafu ukaw unafanya mema hiyo ni sahihi na manabii wote walikuwa na dini iweje wew usiwe na dini
  3. Muharam J

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini athibitisha chanzo cha sikukuu ya Christmass ni cha kipagani

    paulo sio myaudi ni muitaliano ndo nasema wakristo someni kitabu chenu sio munadanganywa tu
  4. Muharam J

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini athibitisha chanzo cha sikukuu ya Christmass ni cha kipagani

    hahika dini moja tu mbele ya mwenyezimungu ni uislamu atakaefika na dini isiyokuwa hiyo hatakuwa mwenye hasara jamani wakristo kafanyieni kazi hicho kitu musome sana vitabu vyenu mutajua ukweli sio munadanganywa na wachungaji wenu
  5. Muharam J

    JamiiForums Tanzania Je, Israel ya sasa ni Taifa teule la Mungu au ni propaganda tu za kanisa?

    kwanza nyinyi wakristo mujue mayahudi sio ndugu zenu wao wanadini yao na ninyi mna dini yenu na ukristo haujaaziia israel umeanza kwa watu wa mataifa ( warumi na wagiriki) na na mji mtukufu ni ule baitul maqadis (jerusalem) ambako ni Palestine na sio Israel
  6. Muharam J

    JamiiForums Tanzania Mnara wa Babeli na historia ya kutisha

    ukristo haukuwepo enzii ya nimrood
  7. Muharam J

    JamiiForums Tanzania Mnara wa Babeli na historia ya kutisha

  8. Muharam J

    JamiiForums Tanzania Mfalme Solomon alikutana kimwili na Malkia wa Washeba ?

    subbuhannallah (ametakasika mwenyezimungu) hakika huyo iweje azini hakika suleimani alikuwa ana uwezo wa kuwaingilia hadi wanawake sabini(70) kwa siku kuwa na wanawake hao ni kahalalishiwa na mungu (Allah)
Back
Top Bottom