KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone, raia wa Msumbuji, ameonekana kuwa moto wa kuotea mbali, labda kuliko staa mwingine kwenye timu hiyo kwa sasa.
Huyu ndiye alikuwa staa kwenye mchezo wa nusu fainali wa Kombe la FA kati ya Yanga na Simba ambao Simba walishinda kwa mabao 4-1.Kiungo huyo ambaye...