Recent content by Muhangwa2023

  1. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mpunga

    Kwa upande wang, nashaur km unamuda wa kufatilia Lima mwenyewe, lkn km uko busy na majukumu mengne subr ununue kwa wakulima! Mim nmejarbu kulima nikawa nafel kisa usimamiz japo mashamba ni yang na mvua kanda hii nakolima ni za uhakika! Ushaur wa mwisho, nunua mashine y kuchakata mpunga ili...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Songea inaenda kukua kwa kasi kiuchumi. Wawekezaji, fursa ndio hii

    Wakati nahamia songea 2022 ndugu na marafiki waliona nmechanganyikiwa ila kwa sasa naona nilkuwa sahihi, nalima nafuga, nafanya biashara ya mpunga na mchele najuta kuchelewa kufika songea.
  3. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini ushuru wa kusafirisha mazao unatofautiana katika ya Halmashauri kati zao moja?

    Ujue kuna watu wanaishi mijin haya hayajawakuta wanajibu km wamekatika vchwa, kwan nan anapima gharama y uzalishaj wakat wanaotoza ushuru sio wakulima? Na je lini wakulima waliulzwa kuhusu gharama zao za uzalishaj?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu maji

    Wdau nmerejea kweny uzi wangu, kifup stak kusikia kitu kinaitwa vitunguu maji, nlpoteza zaid ya 5m kwa project hii
Back
Top Bottom