Recent content by muhamad mt 77

  1. M

    JamiiForums Tanzania Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

    😂😂 Kataa NDOA uwe mtazamaji wa matatizo yawatu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa wa Msanii Mabeste ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki wa Mabeste

    Lakin hlo bonge msilichukulie powaa je mmeshajua dif yake ni ya scania82 ridakshen au scania 113 a 124 isje kuwa mwana kaangali ukubwa dif ili asjekwama milimani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa wa Msanii Mabeste ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki wa Mabeste

    Anajua mathara yakoa mwanamke anae anatamanisha kila mtu hakutaka kuwa nakazi ya kufukuza nnzi.yeye Alimpigia mshkaji kwakua sh wake alikua mzur so kaoa hlo zntong ili analau apunguze ushindan
  4. M

    JamiiForums Tanzania Israel yaendeleza kipondo kwa Magaidi wa Hamas huko Gaza

    Alhaa uwap watu wako wakiangamiaa tuhurumie utuondoshee hili balaaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama alijuzulu mwenyewe kulikuwa na haja Gani kumfukuza UHANACHAMA? Hivi kwa hiyo Mungu akitenda yake, Ndo Ndijembi anakuwa Rais wa Tanzania?

    Kunamdau alisema barua iliandikwa yeye aliambiwa aweke saini tuu basi labda yawezekana nikweli
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM, Hii siyo sawa. Pamoja na yote , msingelimfutia uanachama nchimbi. Mungu anawaona

    Wange muuwa kabisaa.wameuwawa kina soka kina mdude kina polepole ben sanane Baba yangu Alikibao nk je hao aliwahi hata mara moja kusema neno nibora angekua alisema neno juu ya hao ndo akafukuzwa angalau tungesema kitu.lakin kwakua alikaa kimya basi nasisi tukae kimya limpatalo limpate
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huna sababu ya kuwa baba wa kambo hasa ukiwa chini ya miaka 45

    Waambie wamsikilize alafu wachanganue wenyewe.kwanini unawaambia wasimsikilize? Yeye kawaambia watibei sasa madogo nao wanaweza sikiliza sera za watibei wakazielewa nawakawa sehem ya watibei
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huna sababu ya kuwa baba wa kambo hasa ukiwa chini ya miaka 45

    Kazingua ila ndo maisha kila mtu ana namna yakupambania maisha yake kwanamna anavyoona inafaa.muhim alishatimiza wajibuwake kwa wakati wake enzizake.wakat mwingine wa tz syo wakuwategemea wanasema wapo nawewe kikulamba wapo kimyaa siunaona lisu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huna sababu ya kuwa baba wa kambo hasa ukiwa chini ya miaka 45

    Mtani sinikwelii lakin??😂😂😂😂
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huna sababu ya kuwa baba wa kambo hasa ukiwa chini ya miaka 45

    Mpasue .haya mambo ndo unayawezea endelea kutupa elimu na kutukumbusha kadri unapopata nafasi angalau kila ukitoka huko juu kwnye mashamba ya miraa na tangawizi unatukumbusha uschoke.namwenye masikio atakusikia neno lako
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Britanicca apewe maua yake, ni jana tu alitusogezea code na leo imeji-crack yenyewe

    Wakae kwakulia apostel .siulimsikia yule baba alosema umeme ulikua hauwaki zaid ya miaka kumi alipokuja kwako akala cake umeme ukarud apostel😂😂😂
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chizi aliyechoma moto jengo la mahakama ya mwanzo Moshi mjini mbaroni

    Kweli kitu cha birian nihatari chizi kakutwa kwenye maulidi anangoja kuufinya 😄😄 kajificha wee lakini birian lime umemkamatisha
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na huyu jamaa muambieni walikuwepo akina Musiba

    Siwezi kuitukana wala kuitweza sigda kiongozi.mbona wanilisha maneno ndugu
Back
Top Bottom