Recent content by mugoshaa

  1. M

    Oscar Oscar, kama kumuita kiongozi wako mpuuzi sio kosa, fanya hivyo basi kwa bosi wako Majizo kama utabaki salama

    Maadamu anaweza kumwadhibu basi kwa namna fulani anaweza kuwa bosi wake. Ni tofauti na mimi ambaye hata nikimtukana vipi huyo Karia hana la kunifanya zaidi ya mahakama.
  2. M

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa

    Universities zina full autonomous kwenye masula ya nini kifundishwe na kipi kiachwe. Nafasi ya wadau ni kutoa maoni pekee.
  3. M

    Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

    Hizo ni zama braza, kumbuka zama za wakati wa Julius akiwa Rais hakukuwa na flyover hata moja nchi nzima na hakuwa na rami toka DSM - MZA na wala DAR -MTWARA na wala hukuwa na Bwawa la Julius Nyerere na serikali bado haikuwahi kuhamia Dodoma pamoja na kwamba yalikuwa ni mawazo yake. Hayo yote...
  4. M

    Siku niliyomuona Nyerere live nilisikitika sana

    Ile fimbo pamoja na baadhi ya vitu vyake muhimu vipo makumbusho Butiama. Ukipata nafasi fanya ukatalii Butiama utaviona.
  5. M

    Simba kucheza mechi tatu za kirafiki Misri

    Utani ni mtamu sana.
  6. M

    Rais Samia: Serikali itafanyia kazi ushauri na miongozo ya Wabunge

    Yaani kama kusingekuwa kuna kufungiwa ulistahiki tukano lisilo mfano. Hata hivyo inawezekana hauna akili.
  7. M

    Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Ni leo hao wamasai wameingia ngorongoro?
  8. M

    Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Kwa hiyo hapo ni programme ya kulipa kisasi? Kweli wewe ni dooogi.
  9. M

    Ndugu zangu bila kujali itikadi za vyama ni Mtanzania yupi wa kutuletea maendeleo kama Taifa 2025?

    Siku tukifanikiwa kumpata kama yule wa Chato ×2 au zaidi kwa matendo na sifa tunaweza kufika kule tunakokutarajia baada ya muda mfupi zaidi. Hawa wengine plus huyu wa sasa gari litaendelea kunasa kwenye tope hadi lioze.
  10. M

    CHADEMA: Hatutaingilia Mahakama kuhusu kesi ya Wabunge 19 kupinga kuvuliwa uanachama

    Matusi ya nini mkuu? Kwani mhasibu wa cdm ni wewe?
  11. M

    Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

    Wewe nawe acha hizo, sasa mkuu wetu wa nchi ndo awe anapakatwa na majamaa hadharani na sisi tunaona halafu watu wasiseme. Sisi wote ni watu wazima tunajua ukishamshika kihivyo mwanamke (asiye ndugu yako) bila kujali ni Rais ama la ni lazima kuna muwasho wa hamasa utajitokeza.
  12. M

    Inatarajiwa Ijumaa Samia atakutana na Makamu wa Rais wa Marekani. Kwanini isiwe Rais mwenziye?

    Labda anataka kumpa mbinu za kuachana na umakamu wa Rais na kuwa Rais kamili bila ya kusumbuka kupiga kampeni.
  13. M

    Presha yawa kubwa kwa Luis Miquissone, benchi lamtesa, Simba watajwa, wadau Al Ahly waja juu

    Mimi nayaunga mkono sana haya mawazo yako ya KIJINGA.
  14. M

    Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

    Mingi ya miradi ya serikali haiangalii hizo arithmetic za kwenye makaratasi kwa sababu yenyewe haifanyi biashara. Ni ama huwa huduma, kufit political interest au interest za walioko kwenýe usukani kwa wakati husika. Na Hata kama wataangalia hizo NPV, IRR, ARR etc siyo lazima iwe short term...
  15. M

    Yanga yasema Bodi ya Ligi ya Tanzania Bara ndio inahusika na suala la ulinzi mechi za CAF CL

    Wakili msomi kuandikwa kwenyewe shida sijui huo utetezi utakuwa vipi. Maneno rahisi ya kiswahili yanakushinda? Acha uvivu bro. 1. Alafu 2. Ata
Back
Top Bottom