Recent content by mugosha

  1. M

    Mishahara mipya: Samia Kaongeza Tsh. 90,000 tu basi! hii ni dharau sana kwa wafanyakazi

    Kwa hivyo unataka nijiunge kushukuru Kwa vile tu watu wa kima Cha chini wameongezwa hata kama Mimi nisiyekuwa wa group hilo sijaguswa vya kuridhisha? Hakuna anayewazuia kcc kushukuru lakini pia wasio kcc tusiwalazimishe kushukuru.
  2. M

    GE2025 Wenyeji wa Mikoa ya Kaskazini Wana Haki ya Kuongoza Majimbo Yao

    1. Mh. Kiwia (mchanga) alikuwa Mbunge wa Ilemela Mwanza 2010-2015 2. Mh. Mh Wenje (mjaruo wa rolya/Kenya) alikuwa Mbunge wa Nyamagana Mwanza 2010-2015 3. Jimbo la Kwimba usukumani Mbunge wake siyo Msukuma, ni Mhindi 4. Nzega ambapo population yake ni Nyamwezi/Sukuma mbunge wake siyo katika...
  3. M

    Joseph Warioba atengwa Rasmi

    Na wewe utakata moto lini?
  4. M

    Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

    Wewe hujui kitu ila unatanguliza mahaba ya uchawa. Ungekuwa na akili ungefuatilia wafanyabishara wa Brd walivyo busy Kwa sasa kupeleka magari kusomba raia Toka vijijini Ili kuongeza idadi ya wahudhuliaji fake.
  5. M

    Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

    Alicheza Tumbaku ya Morogoro na Volcano ya Kenya.
  6. M

    Sasa nimeamini kwanini hata viitabu vya dini vinasema mwanamke anapaswa kuwa ni msaidizi tu

    Hakuna hata kimoja alichobuni na kuanza kukifanya katika vyote ulivyovitaja. Nadhani hata wewe unajua isipokuwa unajitia upofu bure.
  7. M

    Sasa nimeamini kwanini hata viitabu vya dini vinasema mwanamke anapaswa kuwa ni msaidizi tu

    Mwanzoi nimejaribu kuwa diplomatic kidogo, but nadhani Hata hivyo vitu unavyojinasibu ati kafanya Kuna wengine wengi wanaona hapo ni Hamna chochote, Tena zero kabisa. Kwa Hivyo huwezi kuwaita ni wenye husda Kwa kutompenda, Wana sababu za wazi za kutompenda. Wewe mpende Kwa vile unazo sababu za...
  8. M

    Sasa nimeamini kwanini hata viitabu vya dini vinasema mwanamke anapaswa kuwa ni msaidizi tu

    Kwenye hizi issue za kuchaguana hakuna issue ya husda Wala Nini na ndo maana tunawekewa vitu zaidi ya kimoja Ili tuchague. Hata kama wote wangekuwa na sifa zinazofanana lazima Kuna mmoja angekuwa wa mwisho.
  9. M

    Sasa nimeamini kwanini hata viitabu vya dini vinasema mwanamke anapaswa kuwa ni msaidizi tu

    Wala siyo roho za husda ama nini, inatokeaga tu saa nyingine watu hawakupendi na hawakuamini. Huwezi kulazimisha kupendwa.
  10. M

    Harry Kane ana gundu!

    Three quarters ya umri wake na akiwa peak hakuwahi Kupata kombe lolote nchini kwake, Leo at the age of Nabii Ibrahim na Sarai wanafanikiwa kumpata Isack. Ashauriwe arudi England na ajiunge na kati ya Man. City au Liverpool pengine mwakani anaweza kupata kimoja wapo kati ya epl, fa, au Carling...
  11. M

    Olengurumwa asimulia alichoambiwa na Padre Kitima baada ya kumtembelea hospitali

    Non sense, kunywa au kutokunywa chochote kisicho kinyume na katiba siyo kutenda kosa. Kwa hivyo alidhuriwa Kwa sababu alikunywa?
  12. M

    Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

    Sawa linavaliwa popote na yeyote lakini siyo vazi linalotumika kwenye ofisi za umma. Dress code ya mtumishi wa umma kanzu haimo.
Back
Top Bottom