Kiukwel mi za kisungu nimezikubalu sana hizi:
1. Into the badlands
2. Heroes reborn
Sema into the badlands inaishia 6 tu nilionayo
Za korea kiukwel nimeangalia nying sana za martial arts, love story
Ila nimezikubali sana zifuatazo:
1. The great king gwanggaeto
2. Jumong
3. Princess jamyongo
4...
Daa kwel JK alikuwa anatupeleka pabaya, nadhan kuna siku tungeambiwa tuhame bila kujua tatzo kumbe taar nchi ishauzwa mana kama hiyo hera yote inapotea bure, unadhan nishngap ambazo zingepitea kama utafit haukufanyikaa?
Kiukwel hicho kitendo so kizur wanafanya hadhi ya ualim inashuka kwa kiasi kibwa mnoo, lwanza na mkuu wa shule inabidi aandike barua ya kuomba msamaha kwann hakuligundua hili swala na kulidhibit mapemaa? Hili nalo jeeeeeep, Mhe. Liangalie xn swala hili jpm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.