Recent content by muggyen

  1. muggyen

    Iv wengine humu ndani connection huwa mnazipata vipi?

    Moderator Moderator naomba umsaidie kuuhamisha uzi kwenda Habari n Hoja Mchanganyiko aweze kupata wachangiaji stahiki. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. muggyen

    Iv wengine humu ndani connection huwa mnazipata vipi?

    Uzi wako ungepeleka kwenye Habari na Hoja Mchanganyiko. Humu ni jukwaa la Mapenzi, Mahusiano na Urafiki. Omba mods wakusaidie kuuhamisha Sent using Jamii Forums mobile app
  3. muggyen

    Natamani kubeba mimba niwe mwanaume wa kwanza Afrika

    Kama ulikuwa hutaki kuwa mwanaume ungesema tu, ungepewa matiti na tumbo la uzazi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. muggyen

    Shemeji yangu ananilaumu sana kwenda kwake na Mchepuko Wangu

    Mtoto anamletea mzigo anakataa [emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. muggyen

    Simuelewi Mzazi mwenzangu, tumeachana lakini bado anasumbua

    Being raised in a broken family ni tatizo kubwa sana kuliko kuwa raised right na Baba Mlezi. Talking from experience, sina la kuongeza Sent using Jamii Forums mobile app
  6. muggyen

    Simuelewi Mzazi mwenzangu, tumeachana lakini bado anasumbua

    Ushauri wangu, usiwe na huruma. Mpe Baba mwingine mtoto, kata mawasiliano, fanya maisha yako. Pia mnamchanganya mtoto kujua kuwa ana Baba wawili, muacheni mtoto akue kwanza, bora ulaumiwe kuwa ulimtenganisha na bake halisibut atleast umemweka mahali apate kukua vizuri. Dunia haina huruma...
  7. muggyen

    Shemeji yangu ananilaumu sana kwenda kwake na Mchepuko Wangu

    Huyu mrembo lazima akupe game, ni suala la muda mkuu. Utashangaa tu, mbwembwe nyingi mwisho anakutengea. Kama hutaki game mkatae mapema. Unaweza jaribu mahusiano yako mengine. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. muggyen

    Shemeji yangu ananilaumu sana kwenda kwake na Mchepuko Wangu

    Me nisiwe muongo, demu wa rafiki yangu anitake ivo, naona mwana ataniua akijua ila mie moto nampelekea sio wa nchi hii then namkataa kama simjui na mazoea yanaisha.[emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. muggyen

    Shemeji yangu ananilaumu sana kwenda kwake na Mchepuko Wangu

    Hongera kwa kuwa na mipaka. Mungu aendelee kukusaidia kwenye msimamo wako ila jua tu ukienda mwenyewe utategwa tena sana tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. muggyen

    Shemeji yangu ananilaumu sana kwenda kwake na Mchepuko Wangu

    Kabla hawajaja kukupa muongozo, Shemeji anataka mashine, sasa kazi kwako mkuu. Ila nlivosoma nimejiuliza sana, Mzee unatoka na wanawake wa aina gani? These kind of women binafsi nimewaona cheap sana, cheap is expensive. Panda bei mkuu, hela unayo, usije kufa kwa sababu za kuepukika...
  11. muggyen

    Naombeni wenye kujua haya mambo, naona kama nina kitu Cha kipekee

    Oyaa hii jf banaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. muggyen

    Naomba kujua taratibu za kufuata baada ya mzigo/ parcel kutoka nje ya nchi ukishafika JNIA

    Umeongea bonge la point sina hata la kuongeza. Na hio experience nishaipitia hapo 2017, ilkuwa bonge la somo, nlitumia FedEx na ikabidi nlipe na agent juu na nlinunua documents pia. Next time nlichofanya ni njia ya postal tu. Kodi utalipa kama ipo, japo inachukua muda hadi wiki 2 mzigo kufika...
  13. muggyen

    Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

    Ebanaa eeeeh, Bonge la kisa na pole kwa changamoto DeepPond Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe [emoji28] Nimekukubali sana hapo kwenye kashikashi uliompa mchepuko na kucheza nae jino kwa jino. Wanawake tunawapenda na kuwaheshimu ila wanawake wajinga wajinga lazima twende nao kijeshi hivyo...
  14. muggyen

    Forex Trade imeniumiza

    Nishatuma mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. muggyen

    Cryptocurrency sio Uwekezaji

    Akili yako kubwa mkuu, Mungu akuzidishie Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom