Recent content by Mudi ayub

  1. M

    Mwigulu Nchemba: Hayati Magufuli alikopa mikopo mingi ya kibiashara

    Mzigo gani magufuli alikuwa kenge kbsa na maprof wa Noah tril 450 fake za Barrick
  2. M

    Kufuta sherehe za Uhuru wa Tanganyika huku sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar zikiachwa ni ishara ya kuiua kabisa Tanganyika. Hatutakubali kirahisi

    Kwanini usiahirishe kuzungusha mwenge nchi nzima jambo la kijinga kila mwaka tulipinga
  3. M

    Wamasai 150,000 kuhamishwa kwa nguvu!

    Katiba ya familia yako sio ya Tanzania acha ujinga
  4. M

    PreGE2025 Mrisho Gambo ni Rais ajaye

    Unapenda wanaume ovyo. Ile kichwa niyakuwa Rais [emoji81][emoji81][emoji81]
  5. M

    Malori ya mahindi yakwama mpakani, wamlilia Rais Samia

    Unafanya mzaha wenzio ni hasara hiyo. Unataka bure wata kusuphian
  6. M

    Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

    Hivi wanaomaema firauni wanapata laana?[emoji28][emoji28][emoji28]
  7. M

    Binti wa Raila Odinga, Rosemary ni mfano wa kuigwa

    Umeona wp anaongozq kura za maoni? Au unaleta siasa za ccm za uongo uongo.
  8. M

    Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

    Sexless kichwa yake in MB zero. Wafanyakazi waache kazi waende kwenye kilimo wote, huyu ni mtu mzima au under 5. Hujawahi kutibiwa, huendi bank, hujasoma, hujaona polisi pmoja n mapungufu wanakulinda. Hujaenda mahakamani ukaona nini kinafanyika.
  9. M

    Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Huu ulikuwa ukatili mkubwa. Walionyesha ubaya wa binadamu wachache waliofanana n wanyama au kuzidi. Lkn mungu huwa analipa anachostahili mtu.
  10. M

    Lema awataka wana Chadema kususia biashara za billionea wa Arusha

    Duh Tz wajinga wengi[emoji12][emoji12][emoji12]
  11. M

    Kingai alifuata nini Ofisini kwa DCI? Shktaka lao la Ugaidi bado linakosa muunganiko na Mantiki

    Duh hapo jamaa yangu umenena. Kingai nini asafiri usiku huo mara tu baada Urio kuzungumza na DCI asbh ndani ya ofisi. Kesi ya kijinga. Km hamtaki vyama vingi vifuteni. Mnaharibu kodi za Watz tu kutengeneza mashtaka y kujinga n kutesa watu bure.
  12. M

    Luteni Denis Urio ni mhanga kama ilivyo kwa Mbowe na wale makomandoo watatu

    Dunia ina mateso makubwa. Urio alifanya hivyo kwa nia njema leo yupo kwenye mateso makubwa lkn mmoja wa wabaya wake wapo Kisongo miaka 30. Mungu si Athumani bado wengine
  13. M

    Polepole: Nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba

    Ndio aina ya viongozi wenu mwendazake alisema traffic rushwa 5000 ruksa hiyo ni kidogo. Ulikuwa kwenye usukani hukusema lolote. Katiba mpya n tume huru ni muhimu ili Wtz wachague viongozi si bora kiongozi
  14. M

    Kuingia na note book Kizimbani haikuwa ishu. Jaji Alikuwa ameishaifunika akaendelea na mambo mengine. Kibatala atabwaga tena

    Jaji wa ccm hatutegemei uamuzi tofauti ndio maana ametoa amri shahidi awepo kizimbani aendelee kutoa ushahidi wake. Uamuzi anao tayari amezuga kuahirisha tu.
Back
Top Bottom