Belarus imemkaribisha mkuu wa kundi la mamluki wa kijeshi la Wagner, Yevgeny Prigozhin uhamishoni jana Jumanne, kufuatia uasi uliotibuka wakati jumuiya ya NATO ikionya kuwa iko tayari kujilinda dhidi ya Urusi au Belarus.(dw)
Ina aminika ya kwamba prigozhin ndie atakae kuwa anaongoza mapambano...
Muda wowote vikosi vya wargner pmc vitavuka mipaka kupitia Ukraine kwenda Belarus kwa usalama huku boss who prigozhn akiwa yupo moscow na putin
Kinachoendelea na kilichotokea ni propaganda za kivita na mpk ss urusi imeshinda watalam wakivita wanahamini ukiishambulia Ukraine kutokea Belarus ni...
Muda wowote vikosi vya wargner pmc vitavuka mipaka kupitia Ukraine kwenda Belarus kwa usalama huku boss who prigozhn akiwa yupo moscow na Putin.
Kinachoendelea na kilichotokea ni propaganda za kivita na mpk sasa Urusi imeshinda watalam wakivita wanahamini ukiishambulia Ukraine kutokea Belarus...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.