Wakuu habari zenu
Nawiwa kufanya sanaa ya kuigiza hapa nyumbani ( Bongo Movie). Hivyo naomba msaada kidogo kuhusu haya:
a. Nataka kujua kampuni nzuri ninayoweza kuitumia kushoot movie yangu kwa bajeti ndogo isiyozidi M.4 (Kwa anayejua tafadhali anijuze)
b. Natamani kutumia stori au hadithi...
Wakuu heshima kwenu.
Nina vitabu vyangu nahitaji kuviprint. Tafadhali mwenye kujua kampuni nzuri au mtu mzuri kwa hapa Dar Es Salaam ninayeweza kufanya naye kazi haraka anipe muongozo tafadhali.
Nahitaji wachapishaji wazuri wenye gharama wezeshi(affordable) na wenye kukamilisha kazi kwa...
Daah! Mkuu shukrani sana kwa angalizo hili. Kiukweli sikuzingatia kabisa muda wa uzi huu. Labda kwa kuwa ndio nimeiona uzi huu kwa mara ya kwanza nikajua ni wa hivi karibuni. Next time nitakuwa makini mkuu. Asanye sana.
Mkuu samahani sana naomba nikuulize maswali haya machache.
a. Pamoja na kwamba unapenda sana kilimo je umewahi kufanya biashara yeyoye ndovo tu ya kawaida?
b. Je uko tayari kufanya biaahara yeyoye ndogo halali kwa lengo la kujipatia kipato bila kuona aibu.
c. Je una nia/dhamira ya dhati ya...
Haha haha mkuu umenichekesha sana. But mimi siyo Yona mkuu. Ni kijana tu niliyeamua kuamua hatima ya maisha yangu ma mpaka sasa ni mbaba ninayepambania ndoto zangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.