Hivi humu JF kuna shida gani mbona ni kama uislamu na ukristo ni vita, tangu nimejiunga naona machapisho ya kupondana kidini, shida ni nini..? Acheni kujigawa hakujengi umeamini ukristo ndio njia yako ya maisha sawa na kama umeamini uislamu ndio njia yako ya maisha sawa ila izi mada zakujigawa...
Kuzaa mapema wala sio shida , kikubwa uwe umejipanga namna ya kuhudumia hao watoto basi...izo raha za dunia sio lazima ziwe anasa tu, ata watoto wana raha yake, kuchelewa kuzaa nikujibebesha majukumu muda wa kupumzika, mfano unapata mtoto wakwanza una miaka 40 inamaana mpaka uyo mtoto anafika...
Wenye mamlaka ya kuchunguza ajali za ndege ni mamlaka za usalama wa anga za nchi husika mfano marekani ni NTSB hao ndio wanachunguza sababu za ndege kuanguka kama imesababishwa na uzembe, mechanical failures na kama kuna sababu za kihalifu kama bomu ndipo mamlaka za uchunguzi za maswala ya jinai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.