Recent content by Muba shara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

    Waziri hana mandate ya kumfukuza mtumishi wa umma. Ajaribu aone kama hajamlipa fidia na kumrudisha kazini. Usitumie mihemko. Mtumishi akikosea Kuna utaratibu wa namna ya kumshughulikia na siyo anakuja mtu mmoja tu anamfukuza kazi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naihurumia sana Simba kwa msimu mbaya itakaoupata

    Kojoa ukalale. Mwiko nyuma ushakuvuruga😂😂
  3. M

    JamiiForums Tanzania Who is Shivji mpaka asikosolewe?

    Ndio maana ww ni ndezi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

    Ww ndio hewa kabisa kiingereza chenyewe hukijui
  5. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI na UTUMISHI watambue kuna walimu zaidi ya elfu 20 wanalipwa mshahara mwaka mzima ila hawafundishi

    Kama hujui mkuu wa shule /makami mkuu wa shule /mhasibu wanamanage nini shuleni kukuelewesha wewe ni kazi bure.. Baki hivyo hivyo unavyoelewa wewe upo sahihi kabisa
  6. M

    JamiiForums Tanzania LATRA acheni kuwaonea wafanyabiashara wa magari ya abiria

    Huna akili mbuzi. Ww hujawahi kukwama kwa kupandishiwa nauli ndio maana unabwabwaja. Kama biashara hiyo haiwalipi wangeacha. Wqo walikwambia kusafirisha abiria siku za kawaida ni hasara?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom, tiGO wapandisha tena bei za vifurushi vya Internet. Nape unafanya kazi gani?

    Hii nchi wanapandisha bei ya vitu wanavyotaka na hamna kiongozi wa kututetea
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

    Serikali walitumia mabilioni ya hela (Kodi za wananchi) kutengeneza hiyo Tanzania Royal tour. Usiongee kama huna taarifa sahihi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amefariki, nafikiria kuhamishia kambi kwa mdogo wake

    Siku nyingine utunge story vzr
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei Mosi 2022: Rais Samia, Waokoe Watumishi wako Dhidi ya Dhulma Kali ya Makato ya Lazima ya Mshahara kutoka kwa Vyama vya Wafanyakazi

    Hivi vyama vinanikera sana mimi. Unamkata mtu hela yake kwa lazima. Hi si haki hata kidogo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, Wakili Kibatala anasimama na ACT Wazalendo

    Katiba mpya is a long term project
Back
Top Bottom