Recent content by mtwevejoe

  1. M

    Ujambazi na uporaji kwa kutumia silaha za moto umekithiri Mbezi Beach

    kazi za Ulinzi ni la kila mtu,tusipende sana kuwalaumu Polisi,tushirikiane nao,tuwape ushirikiano wa kutosha,toa taarifa kwa wakati kwa askari.Kila mtu alipo ajitahidi kuwa na mawasiliano na wakuu wa polisi katika sehemu husika,kwa tukio lolote la Ujambazi au kitu chochote kibaya toa taarifa...
  2. M

    USALAMA WA TAIFA ni Kikwazo cha maendeleo na chanzo cha vurugu Mtwara

    Hiyo kali! Hapa yabidi watu wachunguzwe! Wengi wamebaki kusaini tu maombi ya bunduki huko d,salaam,na bila Milioni,fomu hazisainiwi!.msifikiri kuwa mmejificha! Tunawafahamu hapo karibu na karibu na Kanisa la St.Peter
  3. M

    Kinana, Dkt. Migiro na Nape wachanja mbuga za kisiasa Njombe

    Mkuu samahani lakini ! Vyuo vikuu Njombe ni vipi hivyo? Njombe hakuna chuo kikuu hata kimoja! Au waweza kunitajia hata kimoja?
  4. M

    Askari watatu wapoteza maisha na wengine saba kujeruhiwa vibaya ajalin msafara wa opareheni kimbunga

    Hiyo ajali ina mambo mengi,askari wengi wanalalamika mno,kwanza wametoka bukoba wamepata posho kidogo tofauti na askari wengine,PILi magari ya polisi mengi ambayo yalienda OP yalikuwa mabovu mno tofauti na majeshi mengine.Kwa taarifa zilizopo ni kuwa Zaidi ya magari ya Polisi mawili yamepata...
  5. M

    Hoja ya JK juu Rwanda nani mzalendo, Baregu & Mkumbo na Dr. Slaa!

    eeeeeeH! vipi tena nape? mbona umegonga mlango halafu unakimbia!
  6. M

    Mashtaka ya ugaidi Tabora yafutiliwa mbali, Henry Kilewo na wenzake 4 huru kwa tuhuma hizo

    ndio maana wameongeza P.Y.E mwezi huu,badala ya 14% wamekata 15.5%, hii nchi acha tu......
  7. M

    Gazeti la Jambo Leo linamilikiwa na nani?

    Linamilikiwa na wafanyabiashara wa unga.
  8. M

    Yaliyojiri: Kongamano la amani ya Tanzania - Julai 28, 2013

    watuhumiwa wa tindikali igunga bado wanasakwa-IGP mwema akiwaandikia barua Nchimbi nakala IKulu mwezi huu wa saba
  9. M

    CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

    hivi ile tarehe 15/04/2013 pale Oysterbay police canteen nini kiliwakimbiza? wewe na mwenzio asenga na yule mzee aliyevaa suti halafu mguuni kavaa Raba!,wewe ukiwa umeshika gazeti la tanzania Daima! Ama kweli kuhamia CCM ndio Umeanza hiyo Biashara!!!
  10. M

    Tanesco tatizo ni nini?

    Tangu mwaka jana mwezi wa 9, nimemaliza michakato ya kulipia Gharama za kuunganishiwa umeme lakini mpaka leo hii trh 25/04 mbona kimya? nyumba yenyewe nimejenga kwa shida mpaka hapa nilipofikia ingawa haijaisha,na vilevile hela ambayo nimewalipeni nilikopa kwa mtu na mpaka nimemaliza kulipa deni...
  11. M

    Askari walioshiriki wizi wa 150m K'koo watimuliwa kazi...

    wametimuliwa jeshini,na kufikishwa mahakamani muda wowote.
  12. M

    Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwa la Waharirii) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

    kosa kubwa waandishi wa habari ambalo walilifanya ni kwenye tukio la ulimboka na mwangosi hamkusimama kidete mligawanyika na msipoangalia mtakufa wote,waandishi ambao wapo salama ni wa UHURU na JAMBO LEO tu.nitaeleza siku nyingine sababu zake kwa kuwa upelelezi wangu haujafika mwisho.
  13. M

    CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

    tengenezeni hizo Tshirt kwa uwingi zaweza kuwaongezeeni mapato, yaani yaweza kuwa Source of Income kwa Chama chenu.hata mie nitawaungisha.
  14. M

    Polisi Z'bar yamjibu Pengo kuhusu Uamsho na Vurugu za kidini Zanzibar

    security organs za zanzibar ziko weak mno,sidhani kama kuna kitu chochote kinaendelea huko zanzibar.
  15. M

    CCM wapigeni stop Shonza na Mwampamba kuhubiri Udini, Ukanda na Ukabila....NI HATARI!

    Moto unauanzia wapi? CCM hii hii ninayoijua mimi? unaleta utani wewe?.walikuwa akina Sumaye bwana unamsikia leo anavyolalamika?,Ukitaka kujua habari za CCM niulizeni mimi jamani? nikiwaona hawa vijana nasikitika sana,si afadhali mje huku kwetu kijijini tulime kuliko huo muda mnaoupoteza na akina...
Back
Top Bottom