Recent content by mtwa mkulu

  1. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Moja, Wanaotaka kufukuza wenzao wadhibitiwe haraka

    Wewe ni mfia Mbowe tutabaki kukumbuka hivi siku zote
  2. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA

    Yule mfia Mbowe wa kyela naona dakika hii ya 90 anahama upande
  3. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa: 2015 Nilipelekwa Italia for Presidential Training kwa Mkufunzi wa Angela Mark wa Ujerumani, niliandaliwa Mgombea Urais

    Yaaaaaaa professor Safari by that time... Kwanza saiv hakina Nguvu
  4. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

    Hii vita Bado mbichiii
  5. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

    Nilizungumzia sana kuhusu tukio la kihuni la kupugwa Lisasi Tundu Lisu ila watu walitukana humu. Mtashuhudia mengi
  6. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kuna tetesi Dunia inafikia ukomo, Masiha anarudi?

    Mpango wa CCM ni kukabidhi madaraka Kwa mesia mwana wa Mungu sio Kwa Genge la kihuni litakalotuondolea ukomo wa madaraka
  7. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Huko kwenye chama chenu nani sio msaliti? Nani ni muaminifu?

    Nauliza Kwa Nia nzuri tuu Inamaana chama chenu ni ngome ya wasaliti? Nauliza huku kwetu msaliti nani mbona simkumbuki hata mmoja? Je nani kwenu ni muaminifu katika mliopo? Alikuwapo shujaa Chacha wangwe kamanda kweli kweli! Mwamba asiyeogopa kitu. Bila shaka mnamkumbuka lakini huyu nae mkaja...
  8. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Alipouawa Afisa wa TRA patasafishwa

    Inamaana watekaji Sasa wajitambulishe kwamba wao ni maafisa wa TRA ili tusiwabughudhi?
  9. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Familia ya Rais Assad yakimbia Syria

    Assad yupo wapi?
  10. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Chamwino, Dodoma: Rais Samia apiga kura katika Kitongoji cha Sokoine. Asisitiza amani na majibu kutoka kwenye masanduku

    Kwa maelezo ya msemaji wa serikali ya Zanzibar (sms) wazanzibari hawahusiki kwenye huu uchaguzi hili limekaeje?
  11. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Wameshaanza kutengeza products kwa jina la baltazar

    Wabongo huwa hawapitwi na habari ila hatimaye waga yanapita
Back
Top Bottom